Huyu naye apumzije maana hata anachoongea ukimuuliza baada ya masaa machache ashasahauMakamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.
Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili
View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg
Mungu Ibariki Tanzania
Ni hivyo kweri kweri. Mimi nimesoma course Moja na Heche. Sio Mimi tu group lote la SAUT EDUCHE 2006/2009 tunajua kuwa Heche ni Kiongozi wa hivyo kwasababu alikuwa wa hovyo tangu tupo SAUT 2006/2009!Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.
Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili
View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg
Mungu Ibariki Tanzania
Babu naye akacheze na wajukuu, Aibu yake!Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.
Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili
View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg
Mungu Ibariki Tanzania
Basi hata wewe ni wa Hovyo, Maana Kama mlikuwa group Moja nae, ndege warukao pamoja .......Ni hivyo kweri kweri. Mimi nimesoma course Moja na Heche. Sio Mimi tu group lote la SAUT EDUCHE 2006/2009 tunajua kuwa Heche ni Kiongozi wa hivyo kwasababu alikuwa wa hovyo tangu tupo SAUT 2006/2009!
Kwamba kawasikitikia chadema kisha akawaasa wananchi.....Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.
Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili
View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg
Mungu Ibariki Tanzania
Tulisoma kozi mmoja ndio, lakini hatukuwa kundi moja kwenye mtizamo. Sijui umenielewa?Basi hata wewe ni wa Hovyo, Maana Kama mlikuwa group Moja nae, ndege warukao pamoja .......
nadhani hiyo porojo ungeiandikia uzi mahususi jukwaani ingependeza zaidi gentleman πKati ya Makamu mwenyekiti wa ccm na CDM nani anahitaji kuonewa huruma?
View attachment 3638750View attachment 3638751
Kwani CHADEMA wanaongoza serekali gani au wanatoza kodi wapi ili wawalete maendeleo wananchi.Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.
Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili
View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg
Mungu Ibariki Tanzania
Umenena ukweli mchungu kabisaMzee Wasira hua anaeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman,
hakuna haja ya kumkasirikia π