Lipenda rushwa linaendelea kupost. Kazana kazana uendelee kula rushwa maana huo uchafu ndio unaoujuaMakamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.
Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili
View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg
Mungu Ibariki Tanzania
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.
Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili
View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg
Mungu Ibariki Tanzania
Ebu weka namba ya Mh. Heche hapa nimtumie hela ya chai asubuhi hii? Wewe huoni kituko chama cha mboga kina uchungu na chadema badala ya utekaji na vifungo?CHADEMA kwa sasa wanajutia sana kuongozwa na wachumia tumbo
Sisi tunampenda hivyo as long anamwondoa ibilisi mkuu wa TanzaniaYes,
kawasitikia chadema kupata viongozi wa hovyo, na akawaasa wananchi kuepuka kuchagua shetani ahubiri injili huku wakitegemea kuokoka π
Huyu Mzee pamoja na M/Miti wazazi ndio wanaomshauri vibaya M/kiti wa CCM kupuuza katiba na kuendelea kumshikilia Lissu. Hali ikitengamaa huyu mzee anaweza kuishi vibaya sana na familia yake maana tayari wananchi wameshawajua wanaochochea uovu na mifarakano ktk upande wa pili.Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.
Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na kuonyesha huruma dhidi ya wanachadema wote. Awaasa na kuwashauri wananchi kuacha tabia ya kumpa shetani kazi ya kuhubiri injili
View: https://youtube.com/shorts/bBkDmDTJBV4?si=o736rWTe2FbaL6Lg
Mungu Ibariki Tanzania
nadhani amewashauri vizuri sana hao wananchi,Huyu Mzee pamoja na M/Miti wazazi ndio wanaomshauri vibaya M/kiti wa CCM kupuuza katiba na kuendelea kumshikilia Lissu. Hali ikitengamaa huyu mzee anaweza kuishi vibaya sana na familia yake maana tayari wananchi wameshawajua wanaochochea uovu na mifarakano ktk upande wa pili.