Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Fafanua maana ya hii picha mkuu?
Kwa sasa Chadema ni Tundu Lisu na Tundu Lisu ni ChademaWasira ataka maridhiano Chadema washiriki uchaguzi mkuu, Chadema wanaonekana kama hawataki!.
P
Bila reforms? Ah wapWasira ataka maridhiano Chadema washiriki uchaguzi mkuu, Chadema wanaonekana kama hawataki!.
P
Nyuma ya kipimdi, mtangazaji, mgeni(Wassira) yupo MTU/kikundi cha Watu ambao wanaendesha "onyesho/igizo" hili.Fafanua maana ya hii picha mkuu?
Fanyeni reforms wanazodai Ili washiriki huo uchaguzi wenu.Wasira ataka maridhiano Chadema washiriki uchaguzi mkuu, Chadema wanaonekana kama hawataki!.
P
Hamna kitu mbaya kama mtu mzima kujitoa ufaham