Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,499
- 5,956
Wazee Wasira kumbuka CCM walivyokuibiaga kura wakaiba hadi na ile ya kwako ha ha ha ha
Kwa hasira ukaenda NSSR..
CHADEMA wanataka REFORMS ndo washiriki,yeye hataki REFORMS anataka waingie kwenye maridhiano feki,halafu waue watu wauwawe kwa kulalamikia ukosefu wa haki,wao waingie tu na CHAUMA na vyama vingine shikizi wapite na wawaingize wachache bungeni kuwaridhisha.Wasira ataka maridhiano Chadema washiriki uchaguzi mkuu, Chadema wanaonekana kama hawataki!.
P
Promo ya Samia ni kubwa kuliko utendaji wake, Machawa wanamuumbia sifa, Mabango yanamtukuza, Pikipiki zina picha yake, majiko na baiskeli zina nembo yake, na bado ameshindwa kuteka mioyo ya watanzania, Samia watendee mema watanzania masikini ili siku ya umauti wako uombolezwe na watu wengi, kumbuka Magu alipofariki aliliwa na wengi kiasi cha watu 45 kufariki kwa mkanyagano pale uwanja wa Mkapa.
Wasira kampasua polepole kuhusu awamu.
Duuh kwani huyo bi Kiboko ni Rais wa Marekani?
Ulijalibu kujifunza kingereza?Nyuma ya kipimdi, mtangazaji, mgeni(wWassira) yupo MTU/kikundi cha Watu ambao wanaendesha "onyesho/igizo" hili.
Unajua meaning Ndugai alimwambia Polepole aachane na kipimdi chake chako cha "shule ya uongozi' au watamuua!
Nyie wazee ni wakati wa kufikiria kustaafu sasa maana hamna jipya.
Na wewe Mayalla tukiangalia halafu tufanyaje Wassira ana jipya gani.hivi huna shughuli za kufanya kweli.pia sio kila kitu unaandika tu.stress zitakuua mzee baba.
TAPELISasa kama anakubalika kwa 70% kwa nini anaogopa kufanya mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi?
Kwa nini hakemei watu kupotezwa, kutekwa, kuuwawa, kufungwa kwa wapinzani wake? Kwa nini amewafanyia figisu akina Luhaga Mpina? Kwa nini mabango yake yametapakaa kila kona ya nchi?
Haahaa sasa kwa nn awabambikizie wapinzani wake kesi za uwongo?