GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu Shemeji Tate, Tate Mkuu vitu vingine ni kumuonea tuu bure!, kwani hayo mabango ameweka yeye?!. Mabango waweke wengine kwanini aulizwe yeye?!
P
Comrade, hii haina tofauti na yale matukio ya utekaji na kupotea kwa baadhi ya watu. Kama kiongozi amechagua kunyamaza kimya, maana yake yanamfurahisha/anayaunga mkono.
 
Awamu ni nini? Umekuwa defined wapi? Je, madiwani na wabunge ni wa awamu ipi?
Awamu ni term limit ya kiongozi mkuu tuu, akifa, awamu yake inakuwa imekatishwa, inaanza awamu mpya ya kiongozi mpya.

Kwa Bunge, wabunge na madiwani wao awamu yao inaendelea!
Huu ndio msimamo wa CCM !

Ukweli ni Rais Samia ameingia kuikamilisha awamu ya 5, japo serikali yake inaitwa awamu ya 6, ukweli ni serikali ya mpito kukamilisha awamu ya 5, hata ilani ni ilani ya awamu ya 5. Awamu ya 6 ndio inakwenda kuanza.
P
 
Awamu ni nini? Umekuwa defined wapi? Je, madiwani na wabunge ni wa awamu ipi?
Naam, wewe umetafakari vyema --- kama hakuna sehemu maalumu inayotupa muongozo rasmi awamu ni nini, basi yeyote mwenye ubavu anaweza toa muongozo wa "awamu" ni nini.

Either way hoja ya polepole ya awamu ni dhaifu sana mkuu
 
Huu muongozo unanukuu kutoka wapi? Tupe chanzo.

Tanzania hakuna raisi wa mpito, SSH sio raisi wa mpito
 
Oktoba tunatiki

View: https://www.threads.com/@jamiiforums/post/DMxY1biNlyb?xmt=AQF0Ig0X2jFuXEGWmKA0Saov9AdB782PVbyzWLzSrsGobQ
 
Nani anakubalika kuwa Rais Tanzania baada ya Samia?
Leteni majina
Tuwacheni chuki
Kafanya mengi m,azuri ukiwachia kasoro ziliopo.
You cannot please all the people all the time but you can please some of the people some of the time.

Tumpe haki yake Tuwacheni chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…