alinya study ya aina gani?Wasira ataka maridhiano Chadema washiriki uchaguzi mkuu, Chadema wanaonekana kama hawataki!.
P
ANakubalika na nani..? Hawa wababu ndio Mungu atusaidie kuwapumzisha kwa lazimaWanabodi
Watch TBC live
Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump anakubalika kwa 36%
View: https://www.youtube.com/live/ErtbayqwtiA?si=ddylr7cVS6mltSIL
Paskali
Ipi mbaya?Hahahaha nacheka kama mazuri. Nadhani ni muda wa kutumia kauli nzuri.
Sure unadhani wanakimbilia nini bungeni? kwenda kuiba mali za umma na kutajirikaKweli tupu.The east african wameandika juzi kuwa wabunge wa afrika mashariki wapo tayari kuua ili wapate ubunge kwa sababu watapora na kuuza ardhi,mikopo benki na kila aina ya uharamia pasipo kuchukuliwa hatua.
Ni katika kukumbushana tuu, with 7 days to go kabla ya Uchaguzi, nawakumbusha tuu niliwahi kiandika nini humu kumhusu Rais Samia Suluhu Hassan, na uwezo wake wa urais wa JMT.Wanabodi
Watch TBC live
Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump anakubalika kwa 36%
View: https://www.youtube.com/live/ErtbayqwtiA?si=ddylr7cVS6mltSIL
Paskali
Kauli huumba!.Polepole aachane na kipimdi chake cha "shule ya uongozi' au watamuua!
Hili linakwenda kuthibitika October 29Wanabodi