Stephen Wassira: Watanzania wamemuelewa na kumuunga mkono Rais Samia; wanasema kiwango chao cha furaha kimeongezeka

Title imekaa kichonganishi tofauti na maelezo.

Sijamsikia Wasira lakini maelezo yanaonesha kuwa Watu wamepata matumanini mapya kwa Mama Samia baada ya machungu ya msiba.
Utawaweza watu wanafiki!
 
Tunajua wewe ni majeruhi,umri huo busy kutaka uongozi na wajukuu zako je?Nyie tulieni mmetuibia vya kutosha sasa zamu ya wa tz wengine nao wale kdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…