ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Mods Msitoe huu Uzi.
Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi.
Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza kujazwa maji katika bwawa Bali ulikuwa uzinduzi wa kurudisha mto katika njia yake ya asili.
Ili Maji yaweze kujazwa katika bwawa Ujenzi wa jumba ya mitambo power house unapaswa kukamilika Kwa asilimia 100%, lakini Ujenzi wa sehemu ya mitambo upo asilimia 60, na maji hayataweza kujaa kwani Bado upande wa bwawa yanapokaa maji Bado Kuna watu wanafanya kazi, hivyo maji hayajazwi Bali yanapita Moja Kwa moja na kupitia matundu yaliyopo katikati mwa ukuta.
Hivyo kilichofanyika juzi ilikuwa ni Dan............ya Toto, Ili Maji yaweze kuanza kujazwa inabidi, saddle dam zikamilike, na pia njia za kupeleka maji katika mitambo zikamilike. Japo Bado ni hatua nzuri na ya kupongezwa ila Kuna upotoshwaji mkubwa umefanyika kisiasa Tena Kwa kutumia pesa nyingi Ili wananchi waone juhudi za kupambana na mgao