Stereotype kuhusu Zoezi la ujazwaji maji Bwawa La Nyerere (JNHPP)

Nilijua ni kazi ya crane ya tani 30k au bado mnabisha?
 
Mama aloenda kuzindua mradi wa maji kigamboni wakati kule ndio kwanza watu wanachimba mitaro ya kupitishia mabomba kazi ambayo kwa siku anazuia haikuwa hata 30%, sijui saa hizi watakiwa wamefikia wapi.
 

Serikali mambo mengi wanayofanya ni maigizo tu.
 

Uko sahihi, lakini kwenye suala la vipimo sidhani kama tuko vizuri, maana kila mara mamlaka ya hali ya hewa huwa wanatangaza utabiri ambao huenda kinyume kabisa. Haya mabadiliko ya tabia nchi chochote chaweza kutokea. Hata hivyo sipingi moja kwa moja huo utafiti wa Kiwango cha mvua, japo sio lazima iwe kama wanavyotabiri.
 
Nenda kazikwe naye, kaburi lake bado Lina nafasi
 
Mjumbe unajiamini sana sijui ni kwa kitu gani. Mamilioni ya watu wameangalia, Rais, marafiki na maadui, mabeberu na wasaliti, wameshuhudia wote. Wewe mmoja unasema ni danganya toto?
 
Dah namuons Rais Samia anavyodanganywa kama katoto, inasikitisha. Walianzia kule kigoma kwenye kuzima generator
 
Mama aloenda kuzindua mradi wa maji kigamboni wakati kule ndio kwanza watu wanachimba mitaro ya kupitishia mabomba kazi ambayo kwa siku anazuia haikuwa hata 30%, sijui saa hizi watakiwa wamefikia wapi.
Yaani Rais Samia walishamjulia, wanampa vipigi vya uongo huku na kule ila inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…