Steve Nyerere afanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, amsifia kwa kuondoa tatizo la umeme, reli ya kisasa

View attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Siasa huiwezi ungeendelea na kuchekesha watu mbona maisha yangesonga tuu
 
Kama urais wa Tanzania umeshuka thamani kiasi hiki, simshauri mmoja wa ndugu zangu kugombea hapa nchini.
 
View attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Watu wenye TUMWILI TUDOGO shida sana
 
Linapokuja suala la mambo nyeti kama ya nchi, huyu siwez jizuia kumuona kama mbwa ru.
Hana uwezo anaojaribu kujitanabaisha nao. Hayo mambo kwake ni oversize
 
Hii ndio Think Tank ya CCM, Ukisema mtu mweusi amelaaniwa kuna watu wanabisha. Huyu mtu unaweza kuta wanakaa meza moja na Lameck madelu wanaplan future ya uchumi wa Taifa hili kwa miaka 30 ijayo. We're doomed
🤣🤣🤣
 
View attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Mkuu huyo ndio kioo cha jamii! Anaakisi tabia na uwezo wa kiakili wa watanzania wengi! Kuanzia kwa viongozi hadi wananchi mashinani! Hiyo ndiyo taswira ya Taifa letu.
 
View attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Yes,
Well done Steve 🐒
 
Huyo Anatoa tathmini gani zaidi ya kulazimisha uchawa tu.
Ye aendelee kunywa viroba tu.
 
View attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Msimlaumu sana jaman

Hiyo ndio impact ya njaa, yaan hapo alipo hata akiambiwa akapakwe kilainishi na king bae wa namba 1

Atakubali bila hata hiyana
 
msiwe mnaleta mada za hawa machizi humu jamani, akili ndogo sana za huyu. Namuonea huruma sana kama amezaa watoto, bora wasi rithi damu ya huyo baba yao....hovyo kabisa yaani
 
Wakati wengine wanajadiliwa na kina PLO Lumumba. Samia anajadiliwa na kusifiwa na stivu nyerere

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom