Steve Nyerere ajiuzulu nafasi ya Usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania

Msanii wa filamu na mchekeshaji, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, leo Ijumaa Machi 25, 2022 ametangaza kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania(SMT).

Asema kuna mambo mengi yenye tija ambayo Taifa linapaswa kuyashughulikia badala ya kuendeleza sakata la kuteuliwa kwake.
Yeye ndio kaliendeleza kaona kapigwa Knock OUT Eti kuna Mambo yenye Tija kwani hakuyajua kabla
 
Kujiuzulu kunahusika vipi na Rais?!🐒🐒🐒
 
Huyu aliwahi kuwa mwanamuziki?
Anawasemeaje watu ambao hajui shida zao?
Nani alimteua kuwa msemaji?
Huyu si ndie yule anaejipaga cheo cha mkusanayaji michango ya wasanii? hivi huwa inafika kweli? 😄
 
Msanii wa filamu na mchekeshaji, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, leo Ijumaa Machi 25, 2022 ametangaza kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania(SMT).

Asema kuna mambo mengi yenye tija ambayo Taifa linapaswa kuyashughulikia badala ya kuendeleza sakata la kuteuliwa kwake.
Bora amewaachia mfupa wao.
 
Isomeke Kafukuzwa kafurumishwa sio kajiuzulu/kajihudhuru
 
Back
Top Bottom