Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

Ondoa maneno MAARUFU SANA, Steve ni msanii tu na ni watu wachache sana wanaomfahamu, kuwapamba wasanii ndiko kulikowafanya wadode. Juzi mhe. Steve mbunge mtalajiwa kupitia CCM alituaminisha kuwa akili yake imejikita kwenye ngono na alifanikiwa kumpora mwanamke Msigwa, lengo la ubunge ni kunogewa na wanawake wa kihehe.
 
Licha hata ya huyo katuni mwakalebela mwenyewe 2015 alikalishwa na msigwa ,ije kuwa huyo kibushuti,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ccm ina wenyewe wewe , kwani hujamsikia Magufuli akitaka mtu asiyejua kusoma na kuandika agombee ubunge huko kusini kisa kamtungia wimbo wa kumtukuza ?
Du ! Kumbe Harmonise hajui kusoma wala kuandika ! Lol, kwa hiyo nyimbo hua anakaririshwa ? Asee ! Na kale kakimombo sijui kajifunzaje ? Ka ! Sijui mesej mitandaoni nani anamuandikia na kumsomea? Sijaonaga lakini , hee ! Anyway kamkwanja kidogo anako alahamdulillah !
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kwa CCM kuwa na mgombea aina ya Steve Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu huyu anaekula hela za Rambirambi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tapeli uyo mla rambi rambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Futuhiiiiiii Ndio Ni FUTUHIIIII.
 
stupidest ever..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msisingizie utalii, Steve anasema ugomvi wao na Mhe. Ni mwanamke Sinza na Mhe kapoteza pambano hilo.
 
Ni jambo jema
muache a practise his freedom of expression which is granted in the Constitution of the United Republic of Tanzania
 
Steve Nyerere ambaye rekodi yake ya kuhudhuria misiba na kulia misibani bado haijavunjwa amejipanga kisawasawa kugombea kupitia chama chake cha ccm .
kwahiyo mkuu katika mambo yote ambayo nimeifanyia jamii hilo tuu ndio umeliona! kweli?? Erythrocyte kweli! poa tuu haina noma hata kugombea ubunge wenyewe naacha ushanikata stim
 
Lolote linawezekana kwenye siasa za hii nchi. Kila laheri Steve..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…