View attachment 1350166
Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu, ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali asili na utalii kuwatumia wasanii wa kibongo kwamba hawana uwezo wa kuvuta watalii.
Steve Nyerere ambaye rekodi yake ya kuhudhuria misiba na kulia misibani bado haijavunjwa amejipanga kisawasawa kugombea kupitia chama chake cha CCM.
Je Msigwa atapona?

Igunga mojaKuna Dada mmoja anataka Kuingia bungeni
Kupitia Chama kile!
Cv yke kubwa kwa sababu Ana mchuraaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo tigo itachakaaKuna Dada mmoja anataka Kuingia bungeni
Kupitia Chama kile!
Cv yke kubwa kwa sababu Ana mchuraaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila mimi usingefika hapo ulipoAngalia mpumbavu mwingine...baba wa kufikia ndio takataka gani...mind your own business.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Cry the beloved country".View attachment 1350166
Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu, ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali asili na utalii kuwatumia wasanii wa kibongo kwamba hawana uwezo wa kuvuta watalii.
Steve Nyerere ambaye rekodi yake ya kuhudhuria misiba na kulia misibani bado haijavunjwa amejipanga kisawasawa kugombea kupitia chama chake cha CCM.
Je Msigwa atapona?
ππππView attachment 1350166

Yaani Ccm na Ndugai wamefanya bunge lionekane kama klabu ya pombe za kienyeji.View attachment 1350166
Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu, ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali asili na utalii kuwatumia wasanii wa kibongo kwamba hawana uwezo wa kuvuta watalii.
Steve Nyerere ambaye rekodi yake ya kuhudhuria misiba na kulia misibani bado haijavunjwa amejipanga kisawasawa kugombea kupitia chama chake cha CCM.
Je Msigwa atapona?
Ajikite tu kwenye taaluma yake ya wizi wa rambirambi na ukuwadi
AiseeeeAkigombea yeye na PANYA nitampigia panya kuliko huyu kuwadi
Huyu nae anapigwa SAA mbili hasubui ,bora Mkuu wa Mkoa wa iringa mwenyewe anaweza leta ushindani maana nimeona clip zake katatua kero mbalimbali za wananchi ila huyu atoboiView attachment 1350166