Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

Ndio tabia za CCM hizi kung'ang'ania madaraka, na haka si kapo kule kule
 
Yaani steve anafikiri watantania ni wajinga kama yeye wakae wanasikiliza urojo wake.
 
Yaani ukimuangalia anavyoongea utadhani kuna jambo la muhimu sana kumbe jamaa anafurahisha umati tu.

BASATA wathibitisha Steve nyerere alichaguliwa kwa haki ,watoa barua yao kwa sasa MSEMAJI mkuu wa shirikisho ni Steve Nyerere[emoji23]
 
Mwana FA ALISHINDA?

Unajua kuna mambo ambayo unaweza ongea kama alivyoongea bila kujia impact ya maneno yake.
Kwanza kabisa kwa mujibu wa Sheria mwenye Mamlaka ya kutangaza matokeo ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa Tanzania Bara huku. Kama walimtangaza mbunge fulani ni mshindi basi kuna nafasi ya aliyeshindwa kukata Rufaa ya ushindi huo(kwa uchaguzi wa Bunge na Udiwani).
Sasa, kama aliyeshindwa aliamua kutulia zake maana yae alikuwa na sababu zake mwenyewe. Sasa swali, je anyeongea na ku “question” ushindi wa mtu yy anapata wapi huo uhalali? Kwa mamlaka gani aliyonayo?

Pia, kwa kuwa anasema yy ni mwanachama wa Chama fulani maana yake anakiabisha hata hicho Chama chake, kwanza kwa kusema ubunge wa vimemo na pia ku question ushindi wa mbunge wa Chama chake mwenyewe ambapo wananufaika na ruzuku ya ushindi wake.

Maana yake leo hii huyo mwenye doubt akienda mahakamani anaweza kuthibitisha kama mbunge huyo hakushinda?? Je kuna mambo ambayo yeye personal anayajua zaidi kuhusu ushindi wa mbunge huyo? Je hayo mambo yanajulikana na wengine au ni yeye kaamua kujisemea? Je impact kwa Bunge ni ipi? Ke bunge lina mheshimiwa ambaye hakushinda na anapata stahili zake zote za kibunge?

Kuna mazoea yapo ambapo mtu anaweza ongea tu bila kuona mambo kwa mapana yake ambapo akitakiwa kuthibitisha anabaki kuomba radhi tena.
 
kimekazana tu tu kichawa cha mwendokasi PUA;PUA;PUA PUA sijui kinaongea nini
 
Yaani ukimuangalia anavyoongea utadhani kuna jambo la muhimu sana kumbe jamaa anafurahisha umati tu.


Watanzania wenyewe ndiyo wanampa ujiko huyu jamaa. Dogo hana issue yeyote hapa mjini, kila anapojiingiza kwenye jambo fulani wanamwachia tu, wampige stop mara moja ili aje kujiua.....jamii tunaanza kumchoka sasa.
 
Back
Top Bottom