Stori ya huyu kijana imeniumiza sana, ama kweli wanawake legezeni kamba kuwanusuru vijana waliobakia dhidi ya hili janga la wanawake toleo jipya

Sasa wanawake wanahusikaje hapo?

Kukataliwa na wanawake 100 haimaanishi umekataliwa na wanawake wote Duniani.

Kama hii story Ni ya kweli Basi huyo dogo Ni mjinga wa kiwango Cha juu Sana, aseme tu Ana chembe chembe za ushoga ndani Yake aache kuwazingizia wanawake.
 
Hana lolote ss wenyew tunatongoza tunakataliwa mtu miez sita unatongoza wanawake zaidi ya 20 na unakataliwa na hao mashoga tunakutana nao fb kila siku ila tunawapga bloku kwan mademu wanaojiuza hawapo ..?uyo ndo michezo yaKe bhn
 
Ina maana hata akiwapa madada poa pesa wanazikataa?
Ninkisingizio cha kisen" e tu, huyo dogo ndio wale warammba lips kila wakaapo na kupenda kuvaa vipensi. Hayo amshoga anayoyabokoa aliyataka mwenyewe. TikTok na Mitandao mingine inashaiwishi ushoga sana. Kiufupi jamaa ache kubokoa hao mashoga na mashoga watapungua kama hakuna wa kuwatifua.
 
Na wewe ulieamini hiyo story inapaswa uchunguzwe akili.

Kama huyo shoga wa kishua katuma chat kwa secretary basi ilipaswa dogo aendelee kuwa kazini kama anavyosema mwenyewe kuwa alimkataa. Kitendo cha kufukuzwa kazi inamaanisha hizo chat zinamtia hatiani, ukute aikuwa anasifia tigo ya bwabwa kuwa mnato.

Hapo umekutana na chicha mwimbwa, linakula na kuliwa. Huruma yako itakufukuzisha kazi na kashfa juu. Kaa nae mbali huyo kijana. Ushoga ni mithili ya ukoma, kaa nao mbali.
 
Nina muda kidogo sipo active humu, ila hii story imefanya nirudi sababu naamini JF inawafikia watu wengi.

Huyu dogo anafanya kazi ofisini kwetu, alipata scandal za kutoka kimapenzi na kijana fln hv shoga hivyo ikaleta vulumati sana pale kazini. Mimi ndie msimamizi wake wa kazi hivyo dogo aliniomba sana appointment kunielezea niweze kumnusuru na kufukuzwa kazi ila nikapotezea sikutaka kujihusisha nae kabisa. Mwishowe dogo alifukuzwa kazi.

Last week nipo zangu sinza namwagilia kdg huku nasubiri wadau wanijoin kumbe na dogo alikua mahali pale (inasemekana hata huyo shoga alokamatwa nae nae ni wa hukohuko sinza). Dogo akaja kunisalimia pale mie nikaitikia lkn ni ile ya kumpotezea tu sababu sikutaka kabisa kuhusika na scandal yake ile. Dogo akanisihi nimsikilize nami kwa ustaarabu tu sikutaka kumfukuza, nikaona nimsikilizr. Aisee dogo aliongea mengi hadi akawa analia.

Kiufupi anasema yeye hajawahi kutongoza dem akamkubalia, dogo ni hawa type ya vijana watanashati na gym za hapa na pale, instagram kwa sana. Lakini anakwambia anahisi alizaliwa na mkosi sababu hajawahi tongoza demu akamkubalia ila huko fb na insta anatogonzwa na hawa vijana wa kiume wenye mionekano ya kike kike (mashoga), hadi mtaani kwake hao mashoga wanamsumbua balaa wanataka awale. Alienda mbali akasema kuna dogo mmoja alikua rafiki yake tu, siku moja akagundua huyo dogo kwenye simu yake kamsave jamaa eti 'Mume wangu' jamaa alipojua hakutaka kureact, siku moja huyo dogo akamuwekea mtego jamaa ili amkamue.

Dogo aliongea mengi sana akasema hata hio kesi pale kazini ni kwamba kuna shoga mmoja mtoto wa kishua sana alimtaka jamaa ila jamaa kule kuchomoa ndipo dogo likaamua kumkomesha kwa kutuma chats zao kwa secretary wa mkuu wetu pale kazini.

kiukweli utaona chanzo kikubwa ni huyu dogo kukataliwa na wanawake, na ulipotokea mwanya wa wanawake toleo jipya akaona aruke nao. Nawaombeen wanawake na mabinti, wapeni assist hawa vijana wanapotezwa na wanawake toleo la pili (mashoga)

Yangu ni hayo tu.
Aisee
 
Hoja za dogo hazina mashiko. Inawezekana na yy analiwa. Huwezi kukosa mwanamke dunia hii
 
Well simtetei hakuna njia ya ku prove maelezo yake kama ni kweli or not, so before huja conclude. Ni vema ukafaham what on his side
Yaani mwanaume kabisa unasema wanawake hawanitakii khaaaaa!!!!! Ndio maana nimeamua kulala na mashoga aseee. Inahitaji mchwa wawe wametafuna kichwa kuelewa kwamba alifanya KWA mapenzi yake
 
Hahaha kwamba udomo zege umezidi, okay hata kununua show time nayo? Come on haha
 
Unadanganyika kiboya hvyo.
Hyo n tabia yake hauenda anapewa pesa
 
Kimboka, uwanja wa fusi, temeke hospitali, mwananyamala hapo hapo sinza anapoishi, tabata n.k n.k
Yote hayo ni machimbo ya bidhaa adhimu hapo ni yale ya kugusa na kusepa.

Inshort huyo dogo ni shoga, mtandao haukupi usichokitafuta, usiseme instagram imejaa picha za uchi, hapana ila wewe uliwafollow kina paula na zuchu lazima uone picha za uchi.
The same kwa huyo dogo, friends zake huko mitandaoni ni mashoga fb hawana hiyana wanamuongezea atakacho.

Mbona kuna option ya kublock features za aina fulani usione, kumblock mtu nk...

Kua makini nae huyo shauri yako.
 
Na wewe ulieamini hiyo story inapaswa uchunguzwe akili.

Kama huyo shoga wa kishua katuma chat kwa secretary basi ilipaswa dogo aendelee kuwa kazini kama anavyosema mwenyewe kuwa alimkataa. Kitendo cha kufukuzwa kazi inamaanisha hizo chat zinamtia hatiani, ukute aikuwa anasifia tigo ya bwabwa kuwa mnato.

Hapo umekutana na chicha mwimbwa, linakula na kuliwa. Huruma yako itakufukuzisha kazi na kashfa juu. Kaa nae mbali huyo kijana. Ushoga ni mithili ya ukoma, kaa nao mbali.
Hiki kitu hata mi nimekuuliza baada ya kusoma hii stori, chatting zitamfukuzishaje kazi ikiwa anasema yeye ndo ametongozwa na choko?

Halafu kitu kingine japo sijui kama nipo sahihi au sivyo; hayo machoko ambayo jamaa anayatindua yanahusiana vipi na kazi hadi afukuzwe? Hayo si ni mambo binafsi mwenyewe nyumbani tofauti na kazini!
 
Back
Top Bottom