Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Nimekuuliza ni kwanini viliondolewa na je tumamini kipi? Mwanzo au hivyo vya Henoko n.k?
Tuamini ndio ulichoshindwa kuelewa au unaleta janja janja tu?
Kama unaniuliza ni kitabu kipi unatakiwa kukiamini nakushauri uamini kitabu cha "karudi baba mmoja toka safari ya mbali"coz mimi sio mwalimu wako wa dini
 
siraha = silaha
 
Biblia inasema kama yote yangeandikwa basi vitabu vingekuwa vingi Sana jua biblia imeacha mengine in mengi Tu mfano Adam na ever waliandikwa kwa kuwa ni binadamunwa Kwanza lkn haina maana uumbaji uliisha Mwenyez Mungu aliendelea ndio mana kuna wachina na wengine tofauti tofauti na hao alioenda kukutana nao ndio gap wengine ambayo biblia iliwaaacha
 
Yohana 21;25...
 
Je ni nani aliamua visiandikwe vyote? Na je vitabu vingekuwa vingi unadhani tungeshindwa kuvisoma vyote?

Kama tumesoma biblia nzima, quran, analects, chand, novels zaidi ya 300, majarida yasiyohesabika, nyuzi zaidi ya laki JF je ingetushinda nini kusoma hivyo 'mlivyoviacha'?
 
Sasa Mungu kwanini awaletee viumbe wake ugumu wa kuelewa jambo analolikusudia kuwaambia?

Ina maana lengo lake ni watu wasipate kuelewa ili awaadhibu?

Kwani angeweka lugha rahisi inayoeleweka kwa kila mwanadam kuna ugumu gani?
 
funguka zaid mkuu
 
ukute huyu ndo alimdanganya Eva akatombanamo na Adamu.

halafu ukute ndo shetani mwenyewe anayetuvuruga.

ila Mimi sijui
 
Wakuu hizi dini zote duniani ni stori za kusadikika hazina ukweli wowote zilitungwa ili kututisha wanadamu tukifanya maovu tujue kuna adhabu kali inayotusubiria
 
Kwani wapi kwenye Biblia kumeandikwa Adamu na Hawa walizaa watoto wawili tu? Ni kweli kwamba CKaini na Abeli ndio wanaotajwa sana kwenye Biblia. Lakini pia kuna mtoto mwingine anayetajwa akiitwa Seth. Kutokana na mfumo wa kianaume uliokuwepo, Biblia inataja watu kwa umaarufu wao
 
Wataalamu wa Dini wanasema zamani mtoto wa kike alikua haesabiwi ndani ya familia

kama nyumba ina watoto wakiume watatu mmoja wa kike ikipita sensa wataandika nyumba ina watoto wa 3.

Naomba usiniulize swali gumu! sitoweza jibu
 
Mnatoa sababu za kitoto sana 🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…