Story gani ya uongo uliwahi kusikia kuhusu Baba wa Taifa?

Story gani ya uongo uliwahi kusikia kuhusu Baba wa Taifa?

mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini.

Wewe ulisikia ipi?

Hii taarifa "Eneo linaweza likawa na lisiwe kweli" lkn 100% kuna sehemu ilukiacha mererani kuna reserve kubwa tu ya Tanzanite.

Ni moja ya classified
 
mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini.

Wewe ulisikia ipi?
Nadhani story kubwa ni ile ya kifimbo chake. Eti kuna mwaka alikutana na Malkia Elizabeth!

Wakati wa kisalimiana, si Malkia akampa mkono huku akiwa amevaa gloves zake maalum za umalkia!!

Na Mwl. Nyerere eti kwa kuonesha na yeye siyo mtu wa mchezo mchezo, akamsalimia kwa kumpa kifimbo chake. Na Malkia alipogundua kosa lake, alivua gloves na kusaliamiana kwa kupeana sasa mikono!! 😇
 
mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini.

Wewe ulisikia ipi?
Eneo kubwa la KIA kuna mkondo wa miamba ya Tanzanite...
Ila eneo rasmi ni siri... Na hii taarifa siyo ya uongo
 
Nasikia one time alikwenda Mpwapwa, moja za wilaya za hapo makao makuu. Huko kuna shekhe akamuibia kile kifimbo. Nasikia kilimfuata usiku or wherever...... Nasikia from that day on hakuwahi kurejea tena huko Mpwapwa, sasa sijui ni kwa ajili ya kifimbo, au ratiba zake hazikukross?
 
Hii ni jokes alitupa teacher wetu SHULE ya msingi

Kawawa na Nyerere walienda kwa malkia wakawa wako mezani wanakula Sasa kulikuwa na vijiko vya Gold kawawa akajiongeza akaficha kimoja sema design kama Nyerere alimshtukia so Nyerere akaona asitoke kizembe akasema ngoja niwaonyeshe mazingaumbwe ya kitanzania "nitaweka kijiko kwenye mfuko wangu huku halafu kawawa atatoa kwenye mfuko wake kule"

Basi kawawa kishingo upande akajua kuwa ashapigwa bao [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nadhani story kubwa ni ile ya kifimbo chake. Eti kuna mwaka alikutana na Malkia Elizabeth!

Wakati wa kisalimiana, si Malkia akampa mkono huku akiwa amevaa gloves zake maalum za umalkia!!

Na Mwl. Nyerere eti kwa kuonesha na yeye siyo mtu wa mchezo mchezo, akamsalimia kwa kumpa kifimbo chake. Na Malkia alipogundua kosa lake, alivua gloves na kusaliamiana kwa kupeana sasa mikono!! [emoji56]
hahahah hivi hii ilikuwa kweli au tulipigwa fix???

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom