crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Nilifundishwa kumuhusu na walimu akisifiwa sana kwamba alifanya ya maana sana. Kumbe alituletea Muungano na sera ya ujamaa , mbio za mwenge bila kusahau ccm iliyofanya tupo tulipo hivi leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana ilikuwa ni fix tu 😃hahahah hivi hii ilikuwa kweli au tulipigwa fix???
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hii kamba hata mimi nilipigwaEti kuna siku alikisahau kile kifimbo chake sehemu, hakuna aliyeweza kukinyanyua mpaka mwenyewe akaja kukinyanyua.
Yule jamaa alikuwa anapiga kamba mpaka leo nikimuona simmalizi.
Hahaha hahahahaHii ni jokes alitupa teacher wetu SHULE ya msingi
Kawawa na Nyerere walienda kwa malkia wakawa wako mezani wanakula Sasa kulikuwa na vijiko vya Gold kawawa akajiongeza akaficha kimoja sema design kama Nyerere alimshtukia so Nyerere akaona asitoke kizembe akasema ngoja niwaonyeshe mazingaumbwe ya kitanzania "nitaweka kijiko kwenye mfuko wangu huku halafu kawawa atatoa kwenye mfuko wake kule"
Basi kawawa kishingo upande akajua kuwa ashapigwa bao [emoji28][emoji28][emoji28]
Niliambiwa same storyEti kuna siku alikisahau kile kifimbo chake sehemu, hakuna aliyeweza kukinyanyua mpaka mwenyewe akaja kukinyanyua.
Yule jamaa alikuwa anapiga kamba mpaka leo nikimuona simmalizi.
Tunapokuwa makini kuna mengi watoto wetu watakuja kuongopewa kuhusu MaguNilifundishwa kumuhusu na walimu akisifiwa sana kwamba alifanya ya maana sana. Kumbe alituletea Muungano na sera ya ujamaa , mbio za mwenge bila kusahau ccm iliyofanya tupo tulipo hivi leo.
Ilo eneo lina uspecial gan mpaka liwe siri? Mbona maeneo kibao tu ambayo yanahisiwa kuwa na reserve ya madini au gas yanawekwa wazi!Eneo kubwa la KIA kuna mkondo wa miamba ya Tanzanite...
Ila eneo rasmi ni siri... Na hii taarifa siyo ya uongo
Ukweli unajulikana, labda huelewi wanavyochinbabtanzanite. Usifikiri wanapoingilua ndiyo Tanzaniye zipo hapo, chini huko wanakwenda mbali sana, kama hawajafika chini ya KIA basi hawapo mbali.hata hii point yako ni porojo plus..
Sasa wa kulaumiwa ni nani kati ya nyerere na viongozi wako hawa wanaotoa vibali ili madini yachimbwe kwa wizi...!!?Ukweli unajulikana, labda huelewi wanavyochinbabtanzanite. Usifikiri wanapoingilua ndiyo Tanzaniye zipo hapo, chini huko wanakwenda mbali sana, kama hawajafika chini ya KIA basi hawapo mbali.
Ngoja wsje wachinbaji wa Tanzanite wamwage ujuzi hapa. Nimeongea wenginwenye uzoefu wakuzama chini machimboni.
Halina uspecial wowote.. Ila mkondo wa madini umepita hapo..Ilo eneo lina uspecial gan mpaka liwe siri? Mbona maeneo kibao tu ambayo yanahisiwa kuwa na reserve ya madini au gas yanawekwa wazi!
Ila Nyerere wa miaka hiyo humzid akiliAlikuwa anajua mambo yote yaani kumbe alikuwa anaangalia kwenye tv then anawaambia wenzie..
Hii mwenyewe nliiskia alikuwa akitazama news za majuu,halafu kwenye hotuba anawambia wadanganyika kuwa kapewa maono,na walimuogopa kishenzi kwa unabii wake huo.Alikuwa anajua mambo yote yaani kumbe alikuwa anaangalia kwenye tv then anawaambia wenzie..