Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana!Nilifundishwa kumuhusu na walimu akisifiwa sana kwamba alifanya ya maana sana. Kumbe alituletea Muungano na sera ya ujamaa , mbio za mwenge bila kusahau ccm iliyofanya tupo tulipo hivi leo.
Kifimbo chake greda haliwezi nyanyuaMimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini.
Wewe ulisikia ipi?