Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hebu andika tena mkuu sijaelewaKile kifimbo kile na nyani wa milimani siku ya mazishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini.
Wewe ulisikia ipi?
Kwahiyo mtu akizeeka tu ni mchawiIla mke wa nyerere amekula sana chumvi, mpaka leo bado kipo kinadunda.
Kijijini kwetu vibibi kama hivyo vipo vingi, vichawi kishenzi
Nje ya mada lakini!
Hii haijakaa sawa daahIla mke wa nyerere amekula sana chumvi, mpaka leo bado kipo kinadunda.
Kijijini kwetu vibibi kama hivyo vipo vingi, vichawi kishenzi
Nje ya mada lakini!
Just for kujifurahisha tu mkuu, usichukulie seriousKwahiyo mtu akizeeka tu ni mchawi
Watu wanachimba chini kwa chini kutokea mbali, ni porojo tu hizo.Hii taarifa "Eneo linaweza likawa na lisiwe kweli" lkn 100% kuna sehemu ilukiacha mererani kuna reserve kubwa tu ya Tanzanite.
Ni moja ya classified
Hata Mimi sipo seriousJust for kujifurahisha tu mkuu, usichukulie serious
Eti walikuja wanajeshi nao wakashindwa kunyanyua. DaahEti kuna siku alikisahau kile kifimbo chake sehemu, hakuna aliyeweza kukinyanyua mpaka mwenyewe akaja kukinyanyua.
Yule jamaa alikuwa anapiga kamba mpaka leo nikimuona simmalizi.
Nadhani story kubwa ni ile ya kifimbo chake. Eti kuna mwaka alikutana na Malkia Elizabeth!mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini.
Wewe ulisikia ipi?
Eneo kubwa la KIA kuna mkondo wa miamba ya Tanzanite...mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini.
Wewe ulisikia ipi?
hata hii point yako ni porojo plus..Watu wanachimba chini kwa chini kutokea mbali, ni porojo tu hizo.
hahahah hivi hii ilikuwa kweli au tulipigwa fix???Nadhani story kubwa ni ile ya kifimbo chake. Eti kuna mwaka alikutana na Malkia Elizabeth!
Wakati wa kisalimiana, si Malkia akampa mkono huku akiwa amevaa gloves zake maalum za umalkia!!
Na Mwl. Nyerere eti kwa kuonesha na yeye siyo mtu wa mchezo mchezo, akamsalimia kwa kumpa kifimbo chake. Na Malkia alipogundua kosa lake, alivua gloves na kusaliamiana kwa kupeana sasa mikono!! [emoji56]