Nilifundishwa kumuhusu na walimu akisifiwa sana kwamba alifanya ya maana sana. Kumbe alituletea Muungano na sera ya ujamaa , mbio za mwenge bila kusahau ccm iliyofanya tupo tulipo hivi leo.
Mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini.