Story za uchawi ni fiction story (stori za kubuni ) na zipo sana kwa ajili ya jamii ya watu wajinga tu

Wauzaji wa Container Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
2,224
Reaction score
4,092
Hizi story za uchawi , ni story ambazo zipo kwa ajili ya jamii duni na jamii za watu wajinga .

Mwaka 2006 ulitokea msiba wa kumpoteza bibi yetu , ila kwakuwa bibi yetu alikuwa kaolewa ndoa ya mke zaidi ya Mmoja basi walisema karogwa na kuuliwa na mke mwenza.

Kitu Gani kilitokea .

Bibi yangu aliumwa kwa mwezi mzima mfululizo pasipokwenda hospitali.

Maana yake alikuwa anatumia madawa , ya kienyeji bila vipimo wala ushauri wa wataalamu wa Afya . na wakati huo umri wake ulikuwa zaidi ya miaka 40+.

Alipozidiwa sana , alipelekwa hospital na akafariki baada ya siku Moja .

Nini nataka kusema , awareness ya jamii ni ndogo sana katika kukabiliana na magonjwa pamoja na matatizo yao .

Hivyo ikitokea changamoto yoyote inayohitaji matumizi makubwa ya akili , wakaona hawaiwezi basi watasema Kuna uchawi sio bure.

Shortly maisha Huwa Yana kupanda na kushuka , furaha na huzuni , shida na raha .

Hivyo kama unaona odds hazipo upande wako wewe keep grinding soon or later matokeo chanya utapata tu.

Is kidding, watu kuwa wanatoa shuhuda za uongo makanisani n.k kuwa walirogwa n.k.

Unaumwa yes, nenda hospitali, kula vizuri , jali Afya yako n.k
 
Imani na Dini: Katika vitabu vitakatifu kama Biblia na Kurani, uchawi unatajwa kuwepo na mara nyingi unahusishwa na nguvu za giza au ushirikina. Waumini wengi wanaamini kuwa upo na unaweza kuwa na athari kwa binadamu.

Tamaduni:
Katika jamii nyingi, hasa barani Afrika, uchawi unachukuliwa kama ukweli wa kijamii ambapo watu hutumia maarifa yasiyo ya kisayansi kudhuru au kusaidia. Kuna simulizi nyingi za watu kukumbana na matukio yanayodaiwa kuwa ya kiganga au kishirikina.

Sayansi:
Kisayansi, hakuna ushahidi wa kimaabara unaothibitisha kuwepo kwa nguvu za "uchawi" ambazo zinaweza kubadili asili ya vitu bila kufuata kanuni za kifizikia. Mara nyingi matukio yanayoitwa ya ajabu huelezwa kupitia saikolojia, mbinu za werevu (kama za mazingaombwe), au magonjwa ya akili.
Mazingaombwe (Stage Magic): Huu ni "uchawi" wa maonyesho unaotumia ujanja wa mikono na vifaa kutoa udanganyifu wa mambo yasiyowezekana. Hapa, wachawi ni wa kweli lakini uwezo wao si wa nguvu za ajabu, bali ni ufundi
 
Kuusema uchawi tayari ina maanisha upo,huwezi kukisemea kitu ambacho hakipo.
 
Kama zile nchi zote zilizokua na maendeleo makubwa ya mtu mmoja mmoja
Switzerland 🇨🇭
Luxembourg 🇱🇺
Belgium 🇧🇪
Germany 🇩🇪
Japan 🇯🇵
Denmark 🇩🇰
Sweden 🇸🇪
Norway 🇳🇴
Singapore 🇸🇬
Canada 🇨🇦

Wenye kila aina ya mapito wameshindwa kutumia uchawi uwape maendeleo basi uchawi HAUPO
Ila akili ya mtu mweusi wa Africa imegoma kabisa kufikiri na kuamua kuamini mambo ya KIJINGA na kishenzi
IMG_9963.jpeg
 
Wewe ndio mjinga wa kwanza uchawi upo km unabisha nenda sumbawanga ukajizime data kule uone moto
Masikini pekee ndie ataamini uchawi haupo kama wewe apo wafanyabiashara wakubwa, matajiri wanaamini uchawi upo na wanautumia pia
 
Hizi story za uchawi , ni story ambazo zipo kwa ajili ya jamii duni na jamii za watu wajinga .

Mwaka 2006 ulitokea msiba wa kumpoteza bibi yetu , ila kwakuwa bibi yetu alikuwa kaolewa ndoa ya mke zaidi ya Mmoja basi walisema karogwa na kuuliwa na mke mwenza.

Kitu Gani kilitokea .

Bibi yangu aliumwa kwa mwezi mzima mfululizo pasipokwenda hospitali.

Maana yake alikuwa anatumia madawa , ya kienyeji bila vipimo wala ushauri wa wataalamu wa Afya . na wakati huo umri wake ulikuwa zaidi ya miaka 40+.

Alipozidiwa sana , alipelekwa hospital na akafariki baada ya siku Moja .

Nini nataka kusema , awareness ya jamii ni ndogo sana katika kukabiliana na magonjwa pamoja na matatizo yao .

Hivyo ikitokea changamoto yoyote inayohitaji matumizi makubwa ya akili , wakaona hawaiwezi basi watasema Kuna uchawi sio bure.

Shortly maisha Huwa Yana kupanda na kushuka , furaha na huzuni , shida na raha .

Hivyo kama unaona odds hazipo upande wako wewe keep grinding soon or later matokeo chanya utapata tu.

Is kidding, watu kuwa wanatoa shuhuda za uongo makanisani n.k kuwa walirogwa n.k.

Unaumwa yes, nenda hospitali, kula vizuri , jali Afya yako n.k
Yakija kukufika utaelewa kuwa haya mambo ni sci- fi au ni real, unatukana mambo na hujavuga mto hata mimi sikuwahi kuamini lakini niliposhuhudia kwa mcho yako hakika nikakiri kweli uchawi upo...
 
Imani na Dini: Katika vitabu vitakatifu kama Biblia na Kurani, uchawi unatajwa kuwepo na mara nyingi unahusishwa na nguvu za giza au ushirikina. Waumini wengi wanaamini kuwa upo na unaweza kuwa na athari kwa binadamu.

Tamaduni:
Katika jamii nyingi, hasa barani Afrika, uchawi unachukuliwa kama ukweli wa kijamii ambapo watu hutumia maarifa yasiyo ya kisayansi kudhuru au kusaidia. Kuna simulizi nyingi za watu kukumbana na matukio yanayodaiwa kuwa ya kiganga au kishirikina.

Sayansi:
Kisayansi, hakuna ushahidi wa kimaabara unaothibitisha kuwepo kwa nguvu za "uchawi" ambazo zinaweza kubadili asili ya vitu bila kufuata kanuni za kifizikia. Mara nyingi matukio yanayoitwa ya ajabu huelezwa kupitia saikolojia, mbinu za werevu (kama za mazingaombwe), au magonjwa ya akili.
Mazingaombwe (Stage Magic): Huu ni "uchawi" wa maonyesho unaotumia ujanja wa mikono na vifaa kutoa udanganyifu wa mambo yasiyowezekana. Hapa, wachawi ni wa kweli lakini uwezo wao si wa nguvu za ajabu, bali ni ufundiView attachment 3579401

ingawa video ni AI.
Ila umeongea ukweli mtupu.
Hoja zote nakubaliana nazo.
Na uchawi upo.

Ni sayansi ya Mwafrika ambayo Wazungu wameikataa kuiweka kisayansi.
 
Watu wanashindwa kutofautisha kati ya imani potofu na imani ya uchawi. Chengine tuache kuhukumu jamii moja kwa kipimo cha kulinganisha kutoka kwenye jamii nyengine bila kutizama mambo kwa kina.
 
ingawa video ni AI.
Ila umeongea ukweli mtupu.
Hoja zote nakubaliana nazo.
Na uchawi upo.

Ni sayansi ya Mwafrika ambayo Wazungu wameikataa kuiweka kisayansi.
Kwanini mnasema uchawi ni sayansi ya mwafrika wakati uchawi umekuwepo na upo katika jamii zote kwa namna mbalimbali?
 
Kuna uchawi mweupe na mweusi.
Mweupe hutumika kwenye kuleta tija na mweusi kwenye kuleta madhara na maafa.

Kuna namna wazungu wametumia uchawi mweupe zaid ya mweusi na kuleta tija kwenye jamii yao.
Mfano
Kuvumbua madawa, kuweka Kinga na kulinda jamii zao. Kutamka na kujitakia mema na maendeleo nk.

Huku Afrika uchawi ulikuwepo karne nying nyuma. Ila tuliutumia kufanya madhara zaid ya mema.
Practice nying za kichawi zilirudisha maendeleo nyuma.
 
Hizi story za uchawi , ni story ambazo zipo kwa ajili ya jamii duni na jamii za watu wajinga .

Mwaka 2006 ulitokea msiba wa kumpoteza bibi yetu , ila kwakuwa bibi yetu alikuwa kaolewa ndoa ya mke zaidi ya Mmoja basi walisema karogwa na kuuliwa na mke mwenza.

Kitu Gani kilitokea .

Bibi yangu aliumwa kwa mwezi mzima mfululizo pasipokwenda hospitali.

Maana yake alikuwa anatumia madawa , ya kienyeji bila vipimo wala ushauri wa wataalamu wa Afya . na wakati huo umri wake ulikuwa zaidi ya miaka 40+.

Alipozidiwa sana , alipelekwa hospital na akafariki baada ya siku Moja .

Nini nataka kusema , awareness ya jamii ni ndogo sana katika kukabiliana na magonjwa pamoja na matatizo yao .

Hivyo ikitokea changamoto yoyote inayohitaji matumizi makubwa ya akili , wakaona hawaiwezi basi watasema Kuna uchawi sio bure.

Shortly maisha Huwa Yana kupanda na kushuka , furaha na huzuni , shida na raha .

Hivyo kama unaona odds hazipo upande wako wewe keep grinding soon or later matokeo chanya utapata tu.

Is kidding, watu kuwa wanatoa shuhuda za uongo makanisani n.k kuwa walirogwa n.k.

Unaumwa yes, nenda hospitali, kula vizuri , jali Afya yako n.k
Mzee uchawi upo amini nakwambia
 
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom