Story za uchawi ni fiction story (stori za kubuni ) na zipo sana kwa ajili ya jamii ya watu wajinga tu

Yakija kukufika utaelewa kuwa haya mambo ni sci- fi au ni real, unatukana mambo na hujavuga mto hata mimi sikuwahi kuamini lakini niliposhuhudia kwa mcho yako hakika nikakiri kweli uchawi upo...
Ulishuhudia nini? Ilikuaje?
 
Hakuna Sayansi ya Mwafrika, Mwarabu, Mahindi, Mchina au Mzungu, Sayansi ni moja tu.

Sayansi ni ujuzi/maarifa ambayo yanaelezeka kama ukifuata mbinu fulani na matokeo yakaonekana.

Mfano ukichanganya mmea huu, na ule na kuweka kitu flan cha mnyama bas kama kuna mtu anaumwa kitu flan akitumia anapona .
(Hii ni Sayansi)

Sasa Kuna ujuzi umeanzia kwa Wazungu. Hivyo tutaita sayansi ya Kizungu.
Kuna ujuzi uko practicing Afrika. Tutauita sayans ya Kiafrika.

Hapo bado sijataja tamaduni na Dini.
Refers na Vodoo - Afrika mashariki .
Na dini za mababu zetu.

Sayansi ziko nyeupe na nyeusi.

Wazungu walivyokuja wakasema hizi sayans zetu ni mbaya na wakatuambukiza za kwao.
 
Hakuna Sayansi ya Waafrika au Wazungu,

Wazungu hawakusema Sayansi za Mwafarika ni mbaya bali dini/Imani zao,

Dini/Imani sio ujuzi au Sayansi.

Ili jambo liwe Sayansi lazima liwe linaweza kurudiwa (repeatable /reproducible /replicable) popote duniani.
 
Hizi story za uchawi , ni story ambazo zipo kwa ajili ya jamii duni na jamii za watu wajinga .

Mwaka 2006 ulitokea msiba wa kumpoteza bibi yetu , ila kwakuwa bibi yetu alikuwa kaolewa ndoa ya mke zaidi ya Mmoja basi walisema karogwa na kuuliwa na mke mwenza.

Kitu Gani kilitokea .

Bibi yangu aliumwa kwa mwezi mzima mfululizo pasipokwenda hospitali.

Maana yake alikuwa anatumia madawa , ya kienyeji bila vipimo wala ushauri wa wataalamu wa Afya . na wakati huo umri wake ulikuwa zaidi ya miaka 40+.

Alipozidiwa sana , alipelekwa hospital na akafariki baada ya siku Moja .

Nini nataka kusema , awareness ya jamii ni ndogo sana katika kukabiliana na magonjwa pamoja na matatizo yao .

Hivyo ikitokea changamoto yoyote inayohitaji matumizi makubwa ya akili , wakaona hawaiwezi basi watasema Kuna uchawi sio bure.

Shortly maisha Huwa Yana kupanda na kushuka , furaha na huzuni , shida na raha .

Hivyo kama unaona odds hazipo upande wako wewe keep grinding soon or later matokeo chanya utapata tu.

Is kidding, watu kuwa wanatoa shuhuda za uongo makanisani n.k kuwa walirogwa n.k.

Unaumwa yes, nenda hospitali, kula vizuri , jali Afya yako n.k
Mawazo yako hayajatofautiana sana na wale philosophers wa kale kama vile Parmenides et.all.

Kwa mawazo hayo Bado uko mbali sana na reality. Unatakiwa kuendelea kusoma.
 
Hakuna Sayansi ya Waafrika au Wazungu,

Wazungu hawakusema Sayansi za Mwafarika ni mbaya bali dini/Imani zao,

Dini/Imani sio ujuzi au Sayansi.

Ili jambo liwe Sayansi lazima liwe linaweza kurudiwa (repeatable /reproducible /replicable) popote duniani.
100%
 
Kuna uchawi mweupe na mweusi.
Mweupe hutumika kwenye kuleta tija na mweusi kwenye kuleta madhara na maafa.

Kuna namna wazungu wametumia uchawi mweupe zaid ya mweusi na kuleta tija kwenye jamii yao.
Mfano
Kuvumbua madawa, kuweka Kinga na kulinda jamii zao. Kutamka na kujitakia mema na maendeleo nk.

Huku Afrika uchawi ulikuwepo karne nying nyuma. Ila tuliutumia kufanya madhara zaid ya mema.
Practice nying za kichawi zilirudisha maendeleo nyuma.
Wazungu walipitia mateso ya watu wengi mno kuuliwa kwa tuhuma za kichawi, hivyo walipita njia ngumu hadi kuwa hivyo.

Shida ni watu kulinganisha hizi jamii mbili, afrika bado kuna kiwango kikubwa cha ku practice uchawi ni tofauti na huko ulaya. Sasa unakuta mtu anasema uchawi ni simulizi tu kwa sababu anatizama jamii ya ulaya ilivyo.
 
Uchawi upo, lakini hamna ukweli wowote unaleta effect kwa binadamu. Hamna uthibitisho wowote wa uchawi Duniani tuache ujuaji kwingi.
 
Unajua humu tunabishana tu kama kufurahisha baraza tu ila kiuhalisia kulikuwa hakuna haja ya kubishania hili jambo hasa huku afrika, ndio maana wengi hawachangii hizi mada maana ni kama unabishana na vijana wadogo ambao bado hawajaanza kukumbana na misukosuko ya maisha yetu ya kiafrika kibaya zaidi kadri tunavyozidi kuelezea ndivyo mnavyoishia kututoa akili tu.

Maelezo mnayotoa kuonyesha hakuna uchawi ni mbingu na ardhi kwa yale ambayo watu tunayatenda na kushuhudia.
 
We ni empty container so kaa kimya,youre empty
hujawai Kulala juu ya bati,kuanguka choon,kulima mashamba usiku,kula nyama nyiingi usiku kwenye ndoto
 
Unajua humu tunabishana tu kama kufurahisha baraza tu ila kiuhalisia kulikuwa hakuna haja ya kubishania hili jambo hasa huku afrika, ndio maana wengi hawachangii hizi mada maana ni kama unabishana na vijana wadogo ambao bado hawajaanza kukumbana na misukosuko ya maisha yetu ya kiafrika kibaya zaidi kadri tunavyozidi kuelezea ndivyo mnavyoishia kututoa akili tu.

Maelezo mnayotoa kuonyesha hakuna uchawi ni mbingu na ardhi kwa yale ambayo watu tunayatenda na kushuhudia.
Whether your 50 years old or someone else here ana 20s or 30s sio kipimo cha kujifanya unayajua maisha. Hata vijana wanapitia mambo mbalimbali kwenye maisha yao ya kila siku, kuna jamaa niliwahi kuwa na maongezi nae alikuwa JF kipindi flan SirJeff Denis naweza kusema he is a very intelligent man ana experience mbalimbali kwenye maisha pengine kuna wazee kuliko jamaa but I can't hesitate to say bro yupo smart.

Hatuangalii umri, jinsia humu JF Bali tunaangalia ukweli umelala wapi, knowledge sharing, news sharing, a place where people can discuss and come up with thoughtful ideas.

Unapo ibua mada au hoja lazima uangalie inapokelewa vipi kwa watu, je kuna data za kutosha kuhusu hili jambo, kuna ushahidi wowote. Hoja dhaifu hupokelewa kidhaifu especially huku JF kwenye watu ambao kidogo wanafikiri kwa kina and they don't accept things without verification.
 
Ndio maana nikasema hoja zenu mnazotumia humu kupinga uchawi ni sawa na mbingu na ardhi kwa yale ambayo watu tuna experience, sasa unakuja humu unakutana na mtu anaona imani ya uchawi ni simulizi tu hakuna mwenye ku practice hayo mambo na mbaya zaidi anakwambia kazunguka Tanzania nzima anakutana na masimulizi tu sasa kubishana na mtu kama huyo ndipo anaishia kukutoa tu akili kwa kukuona hauna elimu na ni mshamba.

Binafsi kwenye hizi mada sijawahi kumuona mtu mwenye kupinga huo uchawi kutokana ana uelewa na hicho anachokipinga zaidi ya kuona watu wenye kujionyesha kuwa wao ni wasomi na wenye kuamini zaidi sayansi na kuamini uchawi ni kukosa elimu.
 
Ni vitu ambavyo vinashindwa kuthibitishwa ndio maana vinapingwa na waasisi wenyewe wachawi hapo ndio wameweza

Ila ukweli ni mambo mpaka yakukute ndio utawaambia watu kama upo, ni upo kweli na unafanya kazi 💯
 
Infropreneur naona mwamba yupo kwenye circle ileile. Je watu wasiwe wasomi? Bro Mimi Sijui kama uchawi upo au haupo nnachohitaji ni burned of proof kwa wewe unasema upo.
 
Ni vitu ambavyo vinashindwa kuthibitishwa ndio maana vinapingwa na waasisi wenyewe wachawi hapo ndio wameweza

Ila ukweli ni mambo mpaka yakukute ndio utawaambia watu kama upo, ni upo kweli na unafanya kazi 💯
Mbona hatufaham huo ukweli kuna uthibitisho gan wa unacho kisema?
 
Ni vitu ambavyo vinashindwa kuthibitishwa ndio maana vinapingwa na waasisi wenyewe wachawi hapo ndio wameweza

Ila ukweli ni mambo mpaka yakukute ndio utawaambia watu kama upo, ni upo kweli na unafanya kazi 💯
Unajua shida sio kuthibitishwa bali waliyo wengi humu wanafikra finyu wanashindanisha imani ya uchawi na sayansi, yani mtu anakwambia anaamini sayansi hivyo anapinga uchawi kwa nguvu zote kwa kuona kukubali uchawi ni sawa na kushindwa kwa sayansi na ndiyo maana hata huo uthibitisho wa uchawi wanataka wenye vigezo vya kisayansi na ndio msingi wa kusema hakuna uthibitisho wa uwepo wa uchawi.

Na ndio maana mtu kama huyo akiona mambo ya sijui kuibiwa nyeti na mfano wa hayo basi ndio anakuja humu kutumia kama hoja kuonyesha kuwa uchawi ni imani tu za watu wenye ujinga, yeye hajui kama hizo ni imani potofu za watu walizozihusisha na imani ya uchawi na imani potofu zinaweza kuhusishwa katika mambo mengi tu sio kwenye uchawi tu.
 
Unajua shida sio kuthibitishwa bali waliyo wengi humu wanafikra finyu wanashindanisha imani ya uchawi na sayansi, yani mtu anakwambia anaamini sayansi hivyo anapinga uchawi kwa nguvu zote kwa kuona kukubali uchawi ni sawa na kushindwa kwa sayansi na ndiyo maana hata huo uthibitisho wa uchawi wanataka wenye vigezo vya kisayansi na ndio msingi wa kusema hakuna uthibitisho wa uwepo wa uchawi.

Na ndio maana mtu kama huyo akiona mambo ya sijui kuibiwa nyeti na mfano wa hayo basi ndio anakuja humu kutumia kama hoja kuonyesha kuwa uchawi ni imani tu za watu wenye ujinga, yeye hajui kama ni imani potofu za watu walizozihusisha na imani ya uchawi na imani potofu zinaweza kuhusishwa katika mambo mengi tu kwenye mambo mengi tu sio uchawi tu.
Mbona kelele nyingi mkuu thibitisha uchawi upo? Mimi ukiniambia thibitisha sayansi ntakusaidia kuthibitisha lakin wewe unabaki kujikweza na kuwabeza skeptics unashift claim badala ya kuja na majibu, uthibitisho hata wa video.
 
Back
Top Bottom