Story za uchawi ni fiction story (stori za kubuni ) na zipo sana kwa ajili ya jamii ya watu wajinga tu

Infropreneur naona mwamba yupo kwenye circle ileile. Je watu wasiwe wasomi? Bro Mimi Sijui kama uchawi upo au haupo nnachohitaji ni burned of proof kwa wewe unasema upo.
Mimi sina ushahidi kwahiyo utaamua mwenyewe kwamba mimi kutokuwa na ushahidi ndio ushahidi wa kutokuwepo kwa uchawi au ni mimi tu nimeshindwa kutoa ushahidi.
 
Huna ushahidi sawa, how do you convince watu wakiamini kitu ambacho hata kuwa proven hakijawahi huoni shida ipo kwako sio kwa wasio faham. Maana wewe unaesema uchawi upo ndio mjuaji unatakiwa uelezee kwanini upo, je ukiachana na gaps za negative effect kwa watu na vitu how do you know ni uchawi umefanyika hapa?

Usiwabeze watu njoo waelezee na ukubali kujibu maswali hayo. Maana wewe ndio una claim uchawi upo.
 
Wala mimi sio mwenye shida kwa sababu mimi sio mtu niliyeanzisha dai la uwepo wa uchawi, bali madai ya uwepo wa uchawi pamoja na wenye kupinga kwa kusema hakuna uchawi ni mambo ambayo tumeyakuta yamekuwepo toka karne hizo.
 
Wala mimi sio mwenye shida kwa mimi sio mtu niliyeanzisha dai la uwepo wa uchawi, bali madai ya uwepo wa uchawi pamoja na wenye kupinga kwa kusema hakuna uchawi ni mambo ambayo tumeyakuta yamekuwepo toka karne hizo.
Soma ulichokiandika tafadhali tumeyakuta hii inamaana umeshawahi kushuhudia effect yake au pengine ni hadithi. Kwhy practice zipo huwa na kubali kabisa lakin effect yake Haina ukweli.
 
Effect yake haina ukweli kwa maana ipi kwamba hakupatikani matokeo kama ilivyokusudiwa?
 
Hizi story za uchawi , ni story ambazo zipo kwa ajili ya jamii duni na jamii za watu wajinga .

Mwaka 2006 ulitokea msiba wa kumpoteza bibi yetu , ila kwakuwa bibi yetu alikuwa kaolewa ndoa ya mke zaidi ya Mmoja basi walisema karogwa na kuuliwa na mke mwenza.

Kitu Gani kilitokea .

Bibi yangu aliumwa kwa mwezi mzima mfululizo pasipokwenda hospitali.

Maana yake alikuwa anatumia madawa , ya kienyeji bila vipimo wala ushauri wa wataalamu wa Afya . na wakati huo umri wake ulikuwa zaidi ya miaka 40+.

Alipozidiwa sana , alipelekwa hospital na akafariki baada ya siku Moja .

Nini nataka kusema , awareness ya jamii ni ndogo sana katika kukabiliana na magonjwa pamoja na matatizo yao .

Hivyo ikitokea changamoto yoyote inayohitaji matumizi makubwa ya akili , wakaona hawaiwezi basi watasema Kuna uchawi sio bure.

Shortly maisha Huwa Yana kupanda na kushuka , furaha na huzuni , shida na raha .

Hivyo kama unaona odds hazipo upande wako wewe keep grinding soon or later matokeo chanya utapata tu.

Is kidding, watu kuwa wanatoa shuhuda za uongo makanisani n.k kuwa walirogwa n.k.

Unaumwa yes, nenda hospitali, kula vizuri , jali Afya yako n.k
Maneno yangu yasiwe mengi sana. Huwezi kusema kitu kipo au hakipo bila kukiverify wewe mwenyewe. Mimi ntakupa location ya kwenda kuprove kuwa uchawi upo na nna hakika majibu utayapata ila kibaya ni kuwa hutaweza kuja tena kutoa mrejesho hapa jukwaani kuwa uchawi upo au la; but personally utakuwa umepata majibu.

BTW ukitaka kujua uchawi upo au haupo, nakushauri uende Bariadi Mjini (huhitaji kwenda deep sana) sehemu inaitwa Somanda kwenye zile mashine za kukoboa mpunga. Ukifika hapo utakuta kuna vibibi vinapepeta mapepe ya mpunga (hivi vipo kwenye kila mashine). Fanya kama unavifuata halafu kuwa kama unapokea simu hivi then kwa sauti inayosikika useme maneno haya ukiwa kama unaongea na simu. "Acha kunisumbua bhana, yaani huku Bariadi ndio unajitapa ati kuna manguli wa uchawi? Hakuna kitu wewe, wote wapumbavu tu na wamenishindwa mti mkavu hapa. In short sijaona kitu; wote ni weupe tu." Baada ya hapo kuwa kama unakata simu, vipite hivyo vibibi halafu bila kuvisalimia ujikatae zako. Nakuahidi haitachukua hata masaa 6 utakuwa umeshapata majibu kuwa uchawi upo au haupo.
 
Jf ina wachawi wengi sana sasa ukisema uchawi haupo unawahiribia kazi yao ingawa hawawezi kuthibitisha wala kuroga wanabeba watu ufala tu

Kiuhalisia uchawi haupo ni imani za kijinga tu(kutokujua mambo)
 
Huu ni upumbavu
 
Njoo na uthibitisho mzee. Tukio flan ni kwasababu ya uchawi.
Nimeshakujibu sina ushahidi mkuu bado unaniuliza tena jambo hilo hilo? Wewe umesema uchawi effect zake hazina ukweli ndio maana nikataka kuelewa uchawi hauna effect za kweli kwa maana ipi? Ila kama hauna maelezo kwa hicho ulichokisema basi ila kwa upande wangu nimeshanyoosha maelezo sina ushahidi wa uchawi na wala sipo hapa kumconvince mtu yeyote aamini uchawi.
 
Jf ina wachawi wengi sana sasa ukisema uchawi haupo unawahiribia kazi yao ingawa hawawezi kuthibitisha wala kuroga wanabeba watu ufala tu

Kiuhalisia uchawi haupo ni imani za kijinga tu(kutokujua mambo)
Toka karne hizo hadi leo bado watu hawajayajua tu hayo mambo wanayodhania ni uchawi? Ni ajabu basi. Maana imani ya uchawi ipo kwenye makundi yote waliyosoma na wasiosoma ila wote wanaangukia kwenye kutoyajua mambo.
 
Ukipata muda soma stori ya huyu mtu anaitwa Clairvius Narcisse
 
Kitu tangu enzi na enzi hadi kina jina unasema hakipo. Kuja hadi jambo libatizwe jina hilo lipo. Wewe kama unaamini sayansi ni sawa baki hapo na kupambana na vinembe
 
Ni akili zao finyu kudhani kwamba kuamini uchawi ni kuipinga sayansi maana utafikiri wenye kuamini uchawi hata hospitali hawaendi kwa sababu wanapinga sayansi na kutegemea imani ya uchawi kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom