comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
😂😂😂😂 huu Uzi uhamishiwe jukwaa la utani.
Kuna memba mmoja ameniambia kwamba nina akili ndogo, nikamjibu nikweli kabisa hiyo inafahamika Jf yote...🤣Haupo serious 😅
Ni kuuona sio kuionaWewe ulishawahi kuiona?
KirangaKuna huyu mtu anaitwa Aleister Crowley. Unamfahamu, jitahidi kumtafiti kumjua yeye nani na vitabu vyake vipi na usomo na uweke katika practice mambo yake halafu uje u update uzi wako tena
Maneno mengi ya nini kuchosha keyboard, nimekupa location uende ukathibitishe habari za uchawi kama ni halisi au za kusadikika. Acha mboyoyo mingi nenda ukajionee mwenyewe.Huu ni upumbavu
Wewe ndio unatakiwa ku-prove maana wewe sindio una claim upo.Maneno mengi ya nini kuchosha keyboard, nimekupa location uende ukathibitishe habari za uchawi kama ni halisi au za kusadikika. Acha mboyoyo mingi nenda ukajionee mwenyewe.
Kuprove kupo kwa aina nyingi, binafsi uchawi na namna unavyofanya kazi nimeweza kuprove kwa kujionea mwenyewe on field na sio kusimuliwa. Binafsi nimeshajionea live live na nikikusimulia unaweza kudhani nakupigia story za kusadikika ndio maana nimekuambia ni vyema na wewe ujithibitishie mwenyewe kwa macho yako mwenyewe na location ya uhakika nimekupa wala huhitaji kupata shida uende wapi. Kwakuwa wewe nawe unataka kujithibitishia kwa uhakika kabisa pasina shaka kama ilivyokuwa kwangu kama uchawi upo na unafanya kazi, mimi kama shuhuda nimekupa methodology ambayo nna uhakika 100% itakupa majibu sahihi kwenye post no. 47, izingatie hio.Wewe ndio unatakiwa ku-prove maana wewe sindio una claim upo.
Ana vitabu vingi labda utaje kitabu specifically Cha kupata elimu ya uchawiKuna huyu mtu anaitwa Aleister Crowley. Unamfahamu, jitahidi kumtafiti kumjua yeye nani na vitabu vyake vipi na usomo na uweke katika practice mambo yake halafu uje u update uzi wako tena
Ahsante sana hivi vitoto vya elfu mbili kusoma Sayansi ya form 6 vinajikuta vijuaji sana kumbe havijatembea tu anga za watu.Maneno yangu yasiwe mengi sana. Huwezi kusema kitu kipo au hakipo bila kukiverify wewe mwenyewe. Mimi ntakupa location ya kwenda kuprove kuwa uchawi upo na nna hakika majibu utayapata ila kibaya ni kuwa hutaweza kuja tena kutoa mrejesho hapa jukwaani kuwa uchawi upo au la; but personally utakuwa umepata majibu.
BTW ukitaka kujua uchawi upo au haupo, nakushauri uende Bariadi Mjini (huhitaji kwenda deep sana) sehemu inaitwa Somanda kwenye zile mashine za kukoboa mpunga. Ukifika hapo utakuta kuna vibibi vinapepeta mapepe ya mpunga (hivi vipo kwenye kila mashine). Fanya kama unavifuata halafu kuwa kama unapokea simu hivi then kwa sauti inayosikika useme maneno haya ukiwa kama unaongea na simu. "Acha kunisumbua bhana, yaani huku Bariadi ndio unajitapa ati kuna manguli wa uchawi? Hakuna kitu wewe, wote wapumbavu tu na wamenishindwa mti mkavu hapa. In short sijaona kitu; wote ni weupe tu." Baada ya hapo kuwa kama unakata simu, vipite hivyo vibibi halafu bila kuvisalimia ujikatae zako. Nakuahidi haitachukua hata masaa 6 utakuwa umeshapata majibu kuwa uchawi upo au haupo.
Wanaopinga haupo wengi wao ndo wachawi hawataki siri zao zivuje maana uchawi ni siri sana hata umpe mtu billions of dollars hawezi kuprove hadharani kwa sababu jamii ya kichawi itamuua, au inaweza kumuua kabla hata hajajaribu kuproveJf ina wachawi wengi sana sasa ukisema uchawi haupo unawahiribia kazi yao ingawa hawawezi kuthibitisha wala kuroga wanabeba watu ufala tu
Kiuhalisia uchawi haupo ni imani za kijinga tu(kutokujua mambo)
Kajaribu ndo utajua hujui sio mnaleta kelele jf ingieni field si mnataka kuprove,Huu ni upumbavu
Jamaa ana vitabu vingi na vyote ni advance level, sasa ni wewe mwenyewe na uchaguzi wako kuona kipi kinakufaa. Sema ni vizuri kumjua yeye ni nani na mambo aliyoyafanya ni wapi kupitia google ili kukuza level ya ufaamu wako..Huyu jamaa
Ana vitabu vingi labda utaje kitabu specifically Cha kupata elimu ya uchawi
Hawa vijana wanajifanya wajuaji sana. Mimi nasema hivi na aende ikiwezekana aende na cameraman awe afar akirekodi maana hawa vijana si ni macontent creator; ili tuipate hiyo content of proof hapa jukwaani.Ahsante sana hivi vitoto vya elfu mbili kusoma Sayansi ya form 6 vinajikuta vijuaji sana kumbe havijatembea tu anga za watu.
Haya nyie mnaobisha huku mmekaa kwenye sofa la shemeji, fuateni haya maelekezo afu mje mtupe mrejesho kama mtarejea lakini, si mnataka kuhakikisha kama upo au haupo.
Mkuu hao wanataka uwathibitishie hapa hapa JF maana wenyewe wanadai wamezunguka Tanzania nzima hawajaona uchawi zaidi ya simulizi tu za uchawi.Hawa vijana wanajifanya wajuaji sana. Mimi nasema hivi na aende ikiwezekana aende na cameraman awe afar akirekodi maana hawa vijana si ni macontent creator; ili tuipate hiyo content of proof hapa jukwaani.
Kama wamezunguka Tanzania nzima wasingekuja na hoja nyepesi namna hii. Waende hapo Bariadi sasa tuone kama kauli zitaendelea kubaki hivi hivi.Mkuu hao wanataka uwathibitishie hapa hapa JF maana wenyewe wanadai wamezunguka Tanzania nzima hawajaona uchawi zaidi ya simulizi tu za uchawi.
Ushawahi kukutana na uchawi?Wanaosema uchawi upo ni wale waliowahi kukutana na mambo hayo hivyo wanajaribu tu kutoa precautions au kuwasanua msije mkajichanganya mazingira ya watu mkaleta hizo mbaga afu ije kuwa mateso na kilio kwa familia zenu
Mimi nilitegemea humu watu wanaopinga uchawi basi wawe wameshuhudia huo unaoitwa uchawi ila wao wakagundua kuwa sio uchawi ni kitu kingine ni tofauti na tunavyodhania, hapo ndipo tungejadiliana vizuri humu. Lakini cha ajabu hapa mtu anakuja kuleta ubishani kuhusu uchawi lakini haelewi lolote kuhusu huo uchawi ni kitu ambacho anakisikia tu ila kakadhania kusema umthibitishie tu humu.Kama wamezunguka Tanzania nzima wasingekuja na hoja nyepesi namna hii. Waende hapo Bariadi sasa tuone kama kauli zitaendelea kubaki hivi hivi.
NB.
Hiyo location ni kwa majunior Witches & Wizards kwa ukanda huo. Ila hapohapo panatosha kabisa kujithibitishia namna uchawi unafanya kazi. Muda wa kubishana kwa maneno maneno mimi sina. Vizuri ni kwenda kuzungumza na vitendo.
Kama una amini mungu yupo kwa nini ushindwe kuamini shetani yupo.Hizi story za uchawi , ni story ambazo zipo kwa ajili ya jamii duni na jamii za watu wajinga .
Mwaka 2006 ulitokea msiba wa kumpoteza bibi yetu , ila kwakuwa bibi yetu alikuwa kaolewa ndoa ya mke zaidi ya Mmoja basi walisema karogwa na kuuliwa na mke mwenza.
Kitu Gani kilitokea .
Bibi yangu aliumwa kwa mwezi mzima mfululizo pasipokwenda hospitali.
Maana yake alikuwa anatumia madawa , ya kienyeji bila vipimo wala ushauri wa wataalamu wa Afya . na wakati huo umri wake ulikuwa zaidi ya miaka 40+.
Alipozidiwa sana , alipelekwa hospital na akafariki baada ya siku Moja .
Nini nataka kusema , awareness ya jamii ni ndogo sana katika kukabiliana na magonjwa pamoja na matatizo yao .
Hivyo ikitokea changamoto yoyote inayohitaji matumizi makubwa ya akili , wakaona hawaiwezi basi watasema Kuna uchawi sio bure.
Shortly maisha Huwa Yana kupanda na kushuka , furaha na huzuni , shida na raha .
Hivyo kama unaona odds hazipo upande wako wewe keep grinding soon or later matokeo chanya utapata tu.
Is kidding, watu kuwa wanatoa shuhuda za uongo makanisani n.k kuwa walirogwa n.k.
Unaumwa yes, nenda hospitali, kula vizuri , jali Afya yako n.k