Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

Hata ningelikuwa mimi ningeliinjika. Sasa inatakiwa kurostiwa bila kuchenshwa au inapikwa kwa steam?
Hauoshi wala hauweki maji, unaiweka kwenye sufuria halafu unaigeuza geuza inatoa maji yenyewe, then ikianza kuiva unaweka kwenye high heat mchuzi utoke, halafu unaongeza mboga mboga zako na nyanya kama unataka kulia na tambi.

Ni aina ya nyama ambayo inaiva haraka sana kwa sababu tayari imesagwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Haki njoo ufanye mbinjuo uku nione
 
Naona Mzee wa CocknMocktails unatupa desa la tahadhari πŸ˜…πŸ˜…
 
Ukamtunuku na kumeza protein mashalaha mashalah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…