Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Nimelishuhudia hilo na likaleta madhara kwa mtu wangu wa karibu ndio maana nimewaasa japo hayanaga miongozo.
πŸ€’πŸ€’, Hayo hutokea sana kwenye jamii, hasa Akikutana na X mrugaruga, umuhimu wa ndoa huonekana baada ya kuvurunda ndoa. [ ningejua, ningejua, ningejua hutawala idara Zima ya ubongo ]
 
Vichwa vingine vigumu bila kurogwa havikai kwenye mstari 😜
 
1. Tendo la ndoa/ngono vina umri , baada ya muda hivyo hua sio vipaumbele Kwa mwanaume (ukiona kaanza kpunguza Hilo Jua kaanza kukua)

2. Nakazia mwanamke kuwa na kitu Cha ziada Kwa mumewe zaidi ya ngono/tendo la ndoa na kama huna hakikisha unasapot movement zake zote in a positive way.
 
Umeanza vizuri...hapo mwisho umepuyanga sasa kwann asilogwe 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…