Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hawajifunzi, yupo mmoja mwaka jana alinicheki akanijulisha anaolewa, nikamwambia poa kila la heri, sikuwa na namba zake akaniuliza ina maana namba zangu ulizifuta zanini, nikamwambia kwa afya ya maisha yako ya mahusiano na ndoa sio vyema kuwa na mawasiliano na mimi. Akaendelea kuongea nikamuuliza jamaa yako anajua una mawasiliano na mimi? Akaomba akate simu hana majibu.π€π€, Hayo hutokea sana kwenye jamii, hasa Akikutana na X mrugaruga, umuhimu wa ndoa huonekana baada ya kuvurunda ndoa. [ ningejua, ningejua, ningejua hutawala idara Zima ya ubongo ]
Kumbe ndio tabia zenuUmeanza vizuri...hapo mwisho umepuyanga sasa kwann asilogwe π€£π€£π€£π€£π€£
Wengi wapi hao mbona siwajui, ebu waite waje ππππ Unao wengi jirani, yupi sasa tukuitie
Napendaga avatar yako na Jina lako π€£π€£π€£[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]
Unataka kunigombanisha na milupo yako sasa πππWengi wapi hao mbona siwajui, ebu waite waje π
Ewaaa hivi anadhani bila kwenda pemba mwanaume anatuliaje π€£π€£π€£π€£Vichwa vingine vigumu bila kurogwa havikai kwenye mstari π
Mna vichwa vigumu nyie bila kulogwa hamtulii ππππKumbe ndio tabia zenu
1. Tendo la ndoa/ngono vina umri , baada ya muda hivyo hua sio vipaumbele Kwa mwanaume (ukiona kaanza kpunguza Hilo Jua kaanza kukua)
2. Nakazia mwanamke kuwa na kitu Cha ziada Kwa mumewe zaidi ya ngono/tendo la ndoa na kama huna hakikisha unasapot movement zake zote in a positive way.
Kwa hapa Africa, tunapenda sana minyanduano kuliko kitu chochote kile, ndo maana utakuta wazee kila siku yupo famasi kununua booster ya gobole.Tendo la ndoa/ngono vina umri , baada ya muda hivyo hua sio vipaumbele Kwa mwanaume (ukiona kaanza kpunguza Hilo Jua kaanza kukua)
Kabisa mkuu, ila wanawake Walio wengi tatizo hupenda kusikiliza Ushauri/maneno ya watu, hasa wale ambao hawajaolewa, hicho ndo chazo cha mvurugano wa uhusiano ndani ya nyumba.2.Nakazia mwanamke kuwa na kitu Cha ziada Kwa mumewe zaidi ya ngono/tendo la ndoa na kama huna hakikisha unasapot movement zake zote in a positive way.
Si ndo hapo.!! Mama yake mwenyewe anamroga ili asituone kina Lamomy.!!Ewaaa hivi anadhani bila kwenda pemba mwanaume anatuliaje π€£π€£π€£π€£
Ni mwaka wa kuforce tu hakuna namnaSi ndo hapo.!! Mama yake mwenyewe anamroga ili asituone kina Lamomy.!!
Na sie tunamroga mama kizaa chema mpk mtoto wake, wasione mwingine zaidi yangu.!!
Nasemaje jirani tutapaa na ungo iwe baridi au joto πππ
Sasa we fikiria mtu una vichwa viwili, hata kama ungekuwa wewe usingeweza πMna vichwa vigumu nyie bila kulogwa hamtulii ππππ
Mbele kwa mbele km CCM π€£π€£π€£Ni mwaka wa kuforce tu hakuna namna
Jirani πUnataka kunigombanisha na milupo yako sasa πππ
Sema hukumuelewa usizunguke π€£π€£π€£Hawajifunzi, yupo mmoja mwaka jana alinicheki akanijulisha anaolewa, nikamwambia poa kila la heri, sikuwa na namba zake akaniuliza ina maana namba zangu ulizifuta zanini, nikamwambia kwa afya ya maisha yako ya mahusiano na ndoa sio vyema kuwa na mawasiliano na mimi. Akaendelea kuongea nikamuuliza jamaa yako anajua una mawasiliano na mimi? Akaomba akate simu hana majibu.
Nikajiuliza huyu mtu anajielewa kweli kwa hatua aliyofikia?
Mtaje π€£π€£Jirani π
Sina milupo wala mlopo.
Nina wani and only queen, mama Africa.
Sasa kupewa taarifa na mbususu wapi na wapi jirani? Ye alinitafuta anirushe roho anaolewa ila mimi nikamzimia juu kwa juu.Sema hukumuelewa usizunguke π€£π€£π€£
Au ulijua mumewe mjeda ukayaepusha marinda jirani.!!
Kuna me anakataa mbususu ya bure mfyuu π