Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

waache kukataa tamaa ya kuolewa au kuzaa na kuanza kusagana au kujiuza.

Kwa muda muafaka na wakati wake ufaao bila kuchelewa, Mungu atawabariki ...

kusagana au kujiuza
😁😁, haya mambo sijui kwa nini huwa yanajitokeza kwenye jamii, πŸ€”. Tuseme ni utafutaji au ni hulka ya mtu? πŸ˜’
 
Nawaombea Mema, kikubwa wapate mahitaji ya mioyo yao na waridhike...

kauli hii imejaa uungwana wa kipekee sana kutoka kwa binadamu wachache sana walojaaliwa Moyo wa subra na ustahimilivu wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…