Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

β€’ πŸ€’πŸ€’, kwa hiyo tuseme haya mambo yanaazia kwenye uleaji mtoto/watoto?,
β€’ kama ndo hivyo basi yawezekana hata baadhi ya ndoa zinashindwa kudumu kwa sababu tayari amesharibika toka mwanzo.
 
Mentality ya "ukifa utajiachaje" ife kabisa. Wao wanadhani sisi ndio tunatangulia kufa..wanawaza mali tu
πŸ˜†πŸ˜†, hiyo kitu inaboa sana, wanawake wengi huamin hivyo, kuwa baba mwenye nyumba lazima atangulie kulamba udongo.
 
Hapana mwanaume hawazi hivyo
Sijawahi ona mwanaume anaeconclude mtu ni malaya kwa kumla haraka haraka

Shida itakuja circle yako, lugha yako, marafiki zako na alikukula kwenye mazingira gani

Mtu nimekupatia club uko na wenzako mnaenjoy kistaarabu naweza nkakuamini ila kuna mazingira kidogo inakua haileti picha mbaya



Mtu nimekukuta kwenye meza yako upo na drinks zako tukaconverse vizuri uko zako busy na mambo yako, not dressing too slutty una self control lazima heshima iwepo

Sasa mtu nimefika table yako stori mbili tatu ushachomekea niongezee bia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hata kama sio mbebez wa kuuza lazima upate ukakasi wa kuendelea kua naww baada ya sex
 
Uhalisia wa 50/50 ni ndoto ya mlevi ila 50/50 wataiweza tu kwa mchango wa malezi na huduma kwa familia ila sii kwa fikra walizo nazo hii leo.
 
Mnapoteza muda,sio kwa hawa viumbe wa zama hizi..hivi mlifikiri ilikosewa iliposemwa tuishi nao kwa akili..ni living nuclear..! Muda wowote tu wanaharibu.!
Tunapunguza makali mkuu, tukikaa kimya bila kuboostiana bongo zetu, tutaumizwa kwa kiwango kikubwa..
 
Kwenye mazingira hayo uliyo taja, huwezi pata material yaliyo kamilika, labda kama umeamua kutafuta ugonjwa wa moyo,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…