cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Natamani pia kujua hili.Naomba kuelimishwa kuhusu uhuru ndani ya uhusiano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani pia kujua hili.Naomba kuelimishwa kuhusu uhuru ndani ya uhusiano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukihitajika utaitwa[emoji1787]
Na hapo mkutane wote mna uelewa. Uwezo wa kufikiri na maamuzi sahihi. Otherwise ni shida kubwa.Umeliweka kitaalam sana ila sasa mimi nilivyo na wivu kuna mtihani hapo kwenye hivyo vipengele kiasi.
Nitajitahidi, Asante.
Alishanifafanulia, nafikiri umeshaona tayari.Natamani pia kujua hili.
Huu ni mjadala mpana sana, nimepata wazo la kuufikisha kwa kaka mzuri tujadili nipate maoni yake nae apate kusikia yangu.Na hapo mkutane wote mna uelewa. Uwezo wa kufikiri na maamuzi sahihi. Otherwise ni shida kubwa.
Hi. I hatari Sana, afu inamshushia Sana CVKuna sister fulani hapa mtaani, hana kazi yoyote Ile, kwa hiyo akitaka kupata hela ya kula lazima at*bw, [ chakula cha jion, mchana, chai asubuhi na mahitaji yote ]
Ndiyo ushauri wangu huo : Acheni ujingaUjinga gani mkuu,? 🤔
Nakazia....Mwanamke kwny mahusiano yako,
Jitahidi uwe na cha kuoffer Zaid ya tendo la ndoa
Kwa atakae niweza ajaribu, mimi genye zangu sio kama grade ya taifa kukatika katika, huu ni umeme wa nyuklia masaa 24, nikikupea tutawezana?Sema umekuja na gear kali, mkuu kwa hiyo unataka umpunguze GENYE? [emoji51],
Tatizo wanawake hawashauriki ni kama kenge , hawasikii mpaka masikio yatoke damu, huwa sometimes nawaza hivi mademu hujisikiaje baada ya bikra zao kunyofolewa na mafisi na baadae kutelekezwa?Wazo Zuri mkuu, asiyeelewa hapa shauri yake, na ikumbukwe tu, mwanamke akisha tafunwa na wanaume zaidi ya watatu ambao tayari wanajuana, taarifa husambaa sana kwa wanaume wengine nao watakuja kuchovya hivyo hivyo na kusepa.
Mkuu wewe ni me au ke?[emoji15][emoji15], Sawa mkuu,
😁😁, Hilo hijilaumu pale wakisha pigwa na kitu kizito kichwani.. Wanawake wengi virgin zimetolewa na walugaluga.Tatizo wanawake hawashauriki ni kama kenge , hawasikii mpaka masikio yatoke damu, huwa sometimes nawaza hivi mademu hujisikiaje baada ya bikra zao kunyofolewa na mafisi na baadae kutelekezwa?
UhuruNaomba kuelimishwa kuhusu uhuru ndani ya uhusiano.
Wanawake wenyewe kizazi hiki ni aina ya mbunge wa Iringa mjini ataanzia wapi kuwashauri, 50/50 imeiyumbisha sana duniaHabari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:-
|-• Wanaume wengi wanatamani, wanawake wao waelewe umuhimu wa mawasiliano ya wazi na kuheshimiana, kuwa na kusudi/lengo la pamoja, kusaidiana katika kujenga maisha. Pia, kuwa na nafasi ya kujitambua kibinafsi na kudumisha uhuru ndani ya uhusiano.
||-• Na kama watafanya uhusiano wao au ndoa yao itakuwa bora na wanaume wao watawatendea vizuri zaidi, watafanya kazi kwa pamoja ili kuboresha mawasiliano, kuelewa mahitaji ya mwenza, na kushiriki katika hali ya furaha na changamoto kwa pamoja,
|||-• Wanaume toa Ushauri Kwa wanawake juu ya kitu chochote ungetamani wanawake wajue.