Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Wazo Zuri mkuu, asiyeelewa hapa shauri yake, na ikumbukwe tu, mwanamke akisha tafunwa na wanaume zaidi ya watatu ambao tayari wanajuana, taarifa husambaa sana kwa wanaume wengine nao watakuja kuchovya hivyo hivyo na kusepa.
Tatizo wanawake hawashauriki ni kama kenge , hawasikii mpaka masikio yatoke damu, huwa sometimes nawaza hivi mademu hujisikiaje baada ya bikra zao kunyofolewa na mafisi na baadae kutelekezwa?
 
Tatizo wanawake hawashauriki ni kama kenge , hawasikii mpaka masikio yatoke damu, huwa sometimes nawaza hivi mademu hujisikiaje baada ya bikra zao kunyofolewa na mafisi na baadae kutelekezwa?
😁😁, Hilo hijilaumu pale wakisha pigwa na kitu kizito kichwani.. Wanawake wengi virgin zimetolewa na walugaluga.
 
Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:-

|-• Wanaume wengi wanatamani, wanawake wao waelewe umuhimu wa mawasiliano ya wazi na kuheshimiana, kuwa na kusudi/lengo la pamoja, kusaidiana katika kujenga maisha. Pia, kuwa na nafasi ya kujitambua kibinafsi na kudumisha uhuru ndani ya uhusiano.

||-• Na kama watafanya uhusiano wao au ndoa yao itakuwa bora na wanaume wao watawatendea vizuri zaidi, watafanya kazi kwa pamoja ili kuboresha mawasiliano, kuelewa mahitaji ya mwenza, na kushiriki katika hali ya furaha na changamoto kwa pamoja,

|||-• Wanaume toa Ushauri Kwa wanawake juu ya kitu chochote ungetamani wanawake wajue.
Wanawake wenyewe kizazi hiki ni aina ya mbunge wa Iringa mjini ataanzia wapi kuwashauri, 50/50 imeiyumbisha sana dunia
 
Back
Top Bottom