Stress zimemzeesha Gwajima ndani ya kipindi kifupi sana

Tafuta hela paka shume wewe.
 
Gentleman 😁😁😁😁sikiliza tofauti ya kiongozi mwenye akili na kiongozi mpumbavu πŸ‘‡πŸ‘‡


View: https://youtube.com/shorts/QtDuQaR7buM?si=1RgBSVQAWSVFDay6
 

Hata kukiwa hakuna watu ccm atashinda tu haha
 
gwajiboy ni lofa sana saa zingine πŸ’
 
Unachofurahia ni kipi sasa?
Wewe ni MTU wa AJABU sana
furaha iko upande gani wa bandiko gentleman dhidi ya msongo wa mawazo unaomzeesha gwajima?

waonyeshe wadau bas nao waweweseke kama wewe πŸ’
 
hapo wanazungumzwa viongozi wapumbavu kama vile gwajima na Lisu πŸ’
Gentleman ...kama wewe siyo roboti tambua kiongozi mpumbavu ni yupi kati ya hawaπŸ‘‡
 

Attachments

  • Mawazo ya watu watatu tofauti kuhusu kukopa.mp4
    1.1 MB
  • Duh kiongozi kama huyu mchapa kazi kumpata tena ni mitano tena 🫣.mp4
    947.9 KB
Mwanaume anajibu hoja, mwanaume hana tabia ya kufanya personal attacks. Tabia za kike tena level ya ajuzas!
 
Wewe mbona una tabia za kishoga? Kila siku unahangaika na appearence za wanaume wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…