Stress zimemzeesha Gwajima ndani ya kipindi kifupi sana

Stress zimemzeesha Gwajima ndani ya kipindi kifupi sana

changia hoja kwa heshma na ukiwa pointless unakaa kimya tu na itapndeza zaidi gentleman 🐒
Yawezekana wewe hujui kiswahili,hiyo ni mojawapo ya methali za lugha adhimu ya kiswahili.Usipanik,soma kitu,tafakari ndipo toa maoni au ongea
 
yeye anajifungia ndani tu kwasasa, msongo wa mawazo umemjaa mpaka inafikia wakati yupo katikati ya maombia yake ya chuki dhidi ya viongoz waisilamu kitaifa anasinzia au anasahau alikua anafanya maombi au alikua anaimba 🐒
Mrudisheni kanisani kwake 😂😂

Na anaogopa nini kutoka?
 
ubaguzi vipi na wakati muungwana kaamua kujizeesha kwa stress za kujitakia?

in fact,
kama ni suala la ubaguzi, Gwajima ndio mbaguzi namba moja kwa kudhihirisha wazi mwenyewe kwamba hapand viongoz waisilamu kitaifa 🐒
Kampeni zenu si mchezo

Ova
 

Attachments

  • VID_20250815_215742_703.mp4
    13.2 MB
Unaleta chuki binafs na personal attacks!! Zungumzia mambo ya msingi anayosema!!
stress inasumbua sana waropokaji kama gwajima na lisu gentleman,

na kwahiyo ni miongoni mwa mambo muhimu zaidi kujadiliwa humu jukwaani, kwasabb pia kila moja ana stress za aina na kiwango chake.🐒
 
Kapoteza kabisa nuru, kasinyaa na kukunjamana sura kwa uzee wa msongo wa mawazo, ubishi na chuki dhidi ya viongozi wasio wakristu hususani waisilamu.

Analazimisha ujasiri ambao kimsingi hana hata kwa kutazama tu body language na tone yake, badala yake kajawa chuki, hasira na kiburi kupindukia vitu ambavyo vitamdhoofisha zaidi kisiasa na hata kiuchumi.

Jambo la wazi zaidi ni kwamba, CCM itashinda uchaguzi mkuu wa October 29,2025 kwa kishindo kikuu bila hata usaidizi wake, kura za wafuasi wake, familia na wafuasi wa mropokaji na makundi yote aloyataja.

Dr Samia Suluhu Hassan atakua Rais waTanzania mpaka 2030 bila mbambamba yoyote.

Mwenyezi Mungu akuponye stress gwajiboy 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Muongo!
 
Alizini na mkeo!?
relax my lady,
huyo Askofu mzinifu hua anafanya ufuska na waamini wake na kujirekodi video, huku akiwaambukiza ukimwi kwa makusudi.

inasiktisha sana na inafedhehesha sana aise 🐒
 
stress inasumbua sana waropokaji kama gwajima na lisu gentleman,

na kwahiyo ni miongoni mwa mambo muhimu zaidi kujadiliwa humu jukwaani, kwasabb pia kila moja ana stress za aina na kiwango chake.🐒
Kwahiy stress zako kufanya personal attacks!
 
Wanamtandao aka mafisadi wanaiharibu CCM, wapo ki maslahi zaidi na wamerudi kwa kasi ya ajabu.
Wanamtaka Samia awe Rais ili wanyonye zaidi
 
Wanamtandao aka mafisadi wanaiharibu CCM, wapo ki maslahi zaidi na wamerudi kwa kasi ya ajabu.
Wanamtaka Samia awe Rais ili wanyonye zaidi
ni muhimu zaidi ukajikita kwenye hoja bila kujaribu kupindisha mjadala gentleman:putinWalk:
 
Kwa namna anavyopambana na huo mtandao wa wanyonyaji sio kazi rahisi ameamua kutoka mstari Wa mbele kupigania maelfu ya watu binafsi nampongeza sana ......

Anatokea mtu anataka Gwajima awe na sura ya kuvutia aisee
 
ni muhimu zaidi ukajikita kwenye hoja bila kujaribu kupindisha mjadala gentleman:putinWalk:
Usiwe na hasira ndugu, usirushe mawe wakati unaishi kwa nyumba ya vioo.

Gwajima yupo sahihi, CCM inakokwenda siko kabisa. Mafisadi waliotegwa na jamii miaka kama 8 hivi sasa wanarudi kwa kasi ya SGR.
 
Back
Top Bottom