Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Anaulizaje?Mzinifu ana hoja gani
ccm wangekubali kushiriki kwenye uchaguzi ambao mwenyekiti na wajumbe wa tume huru ya uchaguzi wameteuliwa na mgombea anayeshindana na mgombea wa ccm?
Kuzini hata wewe, wazazi, ndugu na marafiki zako wanazini.
Wajibie ccm hilo swali!