Aisee! Ndio maana wadada wengi wa kiisilamu wanaenda kwa Mwamposa, kumbe haina ubaya?Amemfata Masihi Yesu alayhi salaam. Mfuasi wa kweli wa Yesu ni Muislam.
Kwa anaejielewa hawezi kubaki kwenye ushirikina kisa ushirikina umemnufaisha, ni lazima ataiacha shirki na kuifata njia ya hakiNdiyo point yangu kwamba aliyekupa mafanikio kaa naye huyo huyo unless una sababu ya msingi sana ya kuhamisha majeshi.
Kitabu cha Ayubu huwa kinanifikirisha sana jinsi mambo ya kiroho yanavyofanya kazi.
Kwa hiyo unalinganisha Ukristo na ushirikina?Kwa anaejielewa hawezi kubaki kwenye ushirikina kisa ushirikina umemnufaisha, ni lazima ataiacha shirki na kuifata njia ya haki
Wewe huna unalolijua kwenye Ukristo ni kama mashabiki wa utopolo tuAmemfata Masihi Yesu alayhi salaam. Mfuasi wa kweli wa Yesu ni Muislam.
Unauelewa Uislam? Au wewe ni mpinga Kristo?
Sakho anajipendekeza kwa sadio mane 😂Dogo amefanya timing ya futari
NaamKwa hiyo unalinganisha Ukristo na ushirikina?
Usiumizwe sana roho na Sakho, utaharibu swaumu yako bureSakho anajipendekeza kwa sadio mane 😂
Amekuwa mkata kiuno uko kambiniUsiumizwe sana roho na Sakho, utaharibu swaumu yako bure
Dogo kaikana nuru kuchagua giza. Ameamua kujisalimisha kwa kerubi aliyeasi.Amemkataa Kristo kuwa Bwana na mwokozi wake!! Hasara iliyoje mbinguni ni huzuni kubwa
Jamaa inaelekea umeumia sana, yaani kila uzi unaweka mambo ya Sakho kule kambini SenegalAmekuwa mkata kiuno uko kambini
Sakho ana tofauti na baba levo au mwijaku wote ni machawa😂Jamaa inaelekea umeumia sana, yaani kila uzi unaweka mambo ya Sakho kule kambini Senegal
Haya, nifundishe ukristo. Wewe kanisa lipi?Wewe huna unalolijua kwenye Ukristo ni kama mashabiki wa utopolo tu
Sio wenzako wale, uchawa wao unawaweka mjini na wana mikataba mizuri tuSakho ana tofauti na baba levo au mwijaku wote ni machawa😂
Unaonesha na wewe unakwenda huko, mkakutana.Aisee! Ndio maana wadada wengi wa kiisilamu wanaenda kwa Mwamposa, kumbe haina ubaya?
waombee kwa Allah waweze kusimama imara katika dini ya haki. Hivi mtu akiritadi huwa anakatwa kichwa? Kuna jamaa mmoja sheikh sheikh, sijui Hamza Issa vile, siku hizi anaitwa Nabii Ilyas 😂Wewe pamoja na hao Waislam jina wanaokwenda huko ni katika wajinga bdiyo waliwao.