Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Ndiyo point yangu kwamba aliyekupa mafanikio kaa naye huyo huyo unless una sababu ya msingi sana ya kuhamisha majeshi.

Kitabu cha Ayubu huwa kinanifikirisha sana jinsi mambo ya kiroho yanavyofanya kazi.
Kwa anaejielewa hawezi kubaki kwenye ushirikina kisa ushirikina umemnufaisha, ni lazima ataiacha shirki na kuifata njia ya haki
 
Kwa anaejielewa hawezi kubaki kwenye ushirikina kisa ushirikina umemnufaisha, ni lazima ataiacha shirki na kuifata njia ya haki
Kwa hiyo unalinganisha Ukristo na ushirikina?
 
Huyu ni hasara kaiacha kweli na kumfuata shetani
Eeeeweee Allah mpotoshajiiii hukumu yako iweee kuu
 
Huwa wakianza, hawatulii hasa malengo yasipotimia:

1679577289040.png
 
Aisee! Ndio maana wadada wengi wa kiisilamu wanaenda kwa Mwamposa, kumbe haina ubaya?
Unaonesha na wewe unakwenda huko, mkakutana.

Wewe pamoja na hao Waislam jina wanaokwenda huko ni katika wajinga bdiyo waliwao.
 
Ben pol
Baarnaba
Clement
Wote wamesilimu sikumbuki mara ya mwisho lini umesikia selebriti katoka kwenye uislamu kaokoka?? Ni wivu tu...kuna mwana kaandika kwa uchungu eti Mzize hatofunga tena..sasa mtu akuongezei chochote unaumia nini Mzize akifunga Hatrick mtu kama huyu si atajiwekea kitanzi ajinyonge kisa wivu na Udini na chuki za kipuuzi

Shenzitype
img_1679577752115.jpg
 
Wewe pamoja na hao Waislam jina wanaokwenda huko ni katika wajinga bdiyo waliwao.
waombee kwa Allah waweze kusimama imara katika dini ya haki. Hivi mtu akiritadi huwa anakatwa kichwa? Kuna jamaa mmoja sheikh sheikh, sijui Hamza Issa vile, siku hizi anaitwa Nabii Ilyas 😂
 
Back
Top Bottom