Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Je unazaliwa na kuwa muislam bila kushahadia? Je unaweza kuwa muislam bila kufuata nguzo za uislam? Quran inasema muislam wa kwanza ni nani na ili uwe muislam unatakuwa ufanyaje?
Nadhani ukielewa maana ya neno "Uislam" utaelewa kuwa wote tunazaliwa tukiwa Waislam.

Unaelewa maana ya neno Uislam?
 
Huna haja ya kupandisha mzuka, twende taratibu.

Rudia kunisoma:

Nadhani ukielewa maana ya neno "Uislam" utaelewa kuwa wote tunazaliwa tukiwa Waislam.

Unaelewa maana ya neno Uislam?
Dustibin, haya vimbilwa hapo na futari wewe maamuma. Nimekudharau rasmi leo, daku njema.
 
Mfuasi wa kweli wa Yesu ni Muislam.
Hii ni noma na Nusu ndio maana Kwarezima inaanza kabla haijaisha inaingia Ramadhan Leo ndio nimeelewa kwanini, inaanza Pasaka alafu Idd El Fitri inafuatia hapo sasa nmeelewa vizuri kweli Yesu ni Muslamu
 
Hongera kwake
 
Mtu hewezi kwenda kwa baba bila kupitia kwangu .
 
Nadhani ukielewa maana ya neno "Uislam" utaelewa kuwa wote tunazaliwa tukiwa Waislam.

Unaelewa maana ya neno Uislam?

Faiza mbona hoja zake hujazibu umejibu kiujanja ujanja

Ngoja ni copy and paste ili ujibu maswali yake

Je unazaliwa na kuwa muislam bila kushahadia?

Je unaweza kuwa muislam bila kufuata nguzo za uislam?

Quran inasema muislam wa kwanza ni nani ?

na ili uwe muislam unatakuwa ufanyaje?
 
Shida c kubadil shida waislamu wanavyoizungumzia
Mara ooh karibu din ya haki as if alikotoka kupoje cjui
Haya mambo nafananisha na mike tyson
 
Hii ndiyo Faida ya Mchezaji kupenda Shirki na kutaka Kupandisha Nyota yake ili Kumfunika mwenye Uwezo Uwanjani, Anayejituma Mazoezini na Bingwa wa Kujikinga Kiuchawi ( tena ule Mkali wa Kwao Congo DR ) Fiston Kalala GENTAMYCINE Mayele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…