KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Dogo kastuka na mambo haya.Ndio ukweli huo huko kwa wazee wakobazi majini na mapepo ni kitu kimoja mim binafsi siwezi kushangaa kwa mtu anae taka mafanikio ya mikato kupitia njia hiyoView attachment 2562578
Mbona huko makanisani ndio tunaona kila siku watu wanamapepo?Ndio ukweli huo huko kwa wazee wakobazi majini na mapepo ni kitu kimoja mim binafsi siwezi kushangaa kwa mtu anae taka mafanikio ya mikato kupitia njia hiyoView attachment 2562578
Vipi lile jiwe lenu mnaloliinamia kila siku?Dogo kastuka na mambo haya.View attachment 2563675
Wewe sio muungwana nimekutumia nauli tu hautaki kupokea simu yanguMa shaa Allah
Kama mtu anazaliwa muisalamu ya nini ku slimuNadhani ukielewa maana ya neno "Uislam" utaelewa kuwa wote tunazaliwa tukiwa Waislam.
Unaelewa maana ya neno Uislam?
Huyo ni mwanaume sasa unasemaje huyo ni mwenzie?Tupe mstari mmoja uliokufanya wewe useme Issa alayhi salaam siyo Yesu alayhi salaam.
Ungemsoma Issa kwenye Qur'an usingebaki kizani, ungeiona Nuru ya Allah. Muone mwenzako huyu...
.
Uislamu mungu wake ni Allah Mungu wa kiarabu na Allah hamtambui huyo Yesu.Yesu ni Mungu wa Wakrsto na baba yake ni Yehova ambae ni mungu wa Waebrania na Wayahudi.Maoni yako yametokana na hekaya za kiarabu katika mafundisho ya kiislamu,hivyo usipinge maoni ya watu wengine pia.Amemfata Masihi Yesu alayhi salaam. Mfuasi wa kweli wa Yesu ni Muislam.
Unauelewa Uislam? Au wewe ni mpinga Kristo?
Nuru ya uislamu ni ipi?Imekuvutia ndiyo maana ukajibu kifedhuli, hujasoma kichwa cha habari?
Kaiona nuru, vipi wewe, utatoka lini kizani?
Mbona mimi mwanzo nilibadili dini nikawa muislamu nikamuoa Raniyah mwarabu wa Oman,tulipozinguana naye nikapata demu wa kihindi Dar es salaam,nikabadili dini nikawa muhindu sema ndugu zake wakanikatalia nikatemana nae.Sasa nimepata demu wa kichaga nimekua msabato.Ila kuna mchina huku kawe amenielewa anataka niwe budha kama yeye na maisha yanaendelea ya 4GKama ni kwel ana badili kisa ndoa ni bwege tu .mwanaume yoyote anae badili dini ili amfate mkewe ni kiazi tu
Mbona mimi mwanzo nilibadili dini nikawa muislamu nikamuoa Raniyah mwarabu wa Oman,tulipozinguana naye nikapata demu wa kihindi Dar es salaam,nikabadili dini nikawa muhindu sema ndugu zake wakanikatalia nikatemana nae.Sasa nimepata demu wa kichaga nimekua msabato.Ila kuna mchina huku kawe amenielewa anataka niwe budha kama yeye na maisha yanaendelea kwa kasi ya 4GKama ni kwel ana badili kisa ndoa ni bwege tu .mwanaume yoyote anae badili dini ili amfate mkewe ni kiazi tu
Haha pamoja cheif[emoji23][emoji23]
Daudi mtu mbad short comment na komedi ndani, huna habari...
Nakubali sana
For sure mzee. Wanawake wa kiislamu ni wachawi kwa asilimia kubwaAtakuwa karogwa na upande wa kikeni
Ila unachangamana na utapeli eti.Kadanganywa na mganga atachukua namba ya mayele na musonda!! Ukristu auchangamani na uganga.