3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Yesu siyo Issa usichanganyeAmemfata Masihi Yesu alayhi salaam. Mfuasi wa kweli wa Yesu ni Muislam.
Unauelewa Uislam? Au wewe ni mpinga Kristo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu siyo Issa usichanganyeAmemfata Masihi Yesu alayhi salaam. Mfuasi wa kweli wa Yesu ni Muislam.
Unauelewa Uislam? Au wewe ni mpinga Kristo?
Hao wanakuwa wamechepuka tu.Hapo anataka kuoa hapo binti wa kiislam
Yale mambo ya Ben Pol ndio kama hayo.
Ama msanii Barnaba
Wakiachana tu mtu anarudi kwenye dini yake
Umeshawahi Msoma Issa kwenye Qur'an?Yesu siyo Issa usichanganye
Naam nimemsoma ndiyo maana nimekuambia Yesu siyo IssaUmeshawahi Msoma Issa kwenye Qur'an?
Sema basi Yesu siye Jesus pia.
Clement janja-janja leo anaichakata kwa nafasi.😂😂😂☝️
Yaani hautumii nguvu kijibu.Nimecheka sana.Ma shaa Allah, kama kabadili dini kwa ajili ya futari, sifa za kumtoa kizani na kumuingiza kwenye nuru ziende kwa kina mama wa kiislaam, kwa kukaangiza tu, Ma shaa Allah.
Bibi hauna mwingine nna Mimi nibadili dini,wakristo tunabaniwa,kuoa mmoja tu wa ngamaMa shaa Allah
Mnatutangazia ili iweje si Jambo binafsi akabadili dini chumbani kwakeMshambuliaji wa klabu ya @yangasc @clementinho49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan...
Ulijuaje anakula kitimotoKastaafu kula kitimoto
Salaaam ndug yangu[emoji16][emoji16][emoji23][emoji2960]Haujawahi kuwa na akili, Clementinho ana influence gani hapa mkono kuwa nini asimforce Mayele au Bangala amfuate huyo chipukizi?
Mbinguni ni huzuni kubwa sana , Yesu ameumia mnooo , kawaza juu ya Damu yake alioimwaga msalabani.Amemkataa Kristo kuwa Bwana na mwokozi wake!! Hasara iliyoje mbinguni ni huzuni kubwa
Acha mawazo ya kichawi kubadili dini ni Jambo la kibinafsi usikubali kuwa mtumwaMajini na mapepo yamemtaka afanye hivo ili aweze kubeba hirizi vizuri
Hapa Kipele kimepata mkunaji..😅Ma shaa Allah, kama kabadili dini kwa ajili ya futari, sifa za kumtoa kizani na kumuingiza kwenye nuru ziende kwa kina mama wa kiislaam, kwa kukaangiza tu, Ma shaa Allah.
Kula futari mpaka ubadilishe dini. nonsenseMROHO WA FUTARI
Ndio ukweli huo huko kwa wazee wakobazi majini na mapepo ni kitu kimoja mim binafsi siwezi kushangaa kwa mtu anae taka mafanikio ya mikato kupitia njia hiyoAcha mawazo ya kichawi kubadili dini ni Jambo la kibinafsi usikubali kuwa mtumwa