Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Mshambuliaji wa klabu ya @yangasc @clementinho49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan...
Mnatutangazia ili iweje si Jambo binafsi akabadili dini chumbani kwake
 
Sawa kwani suala la imani ni la kibinafsi,kila nafsi itawajibika kivyake,kama kaona huko ndiko sahihi 💯 ok
 
Haujawahi kuwa na akili, Clementinho ana influence gani hapa mkono kuwa nini asimforce Mayele au Bangala amfuate huyo chipukizi?
Salaaam ndug yangu[emoji16][emoji16][emoji23][emoji2960]

Ramadan Kareem[emoji86][emoji86]
 
Ma shaa Allah, kama kabadili dini kwa ajili ya futari, sifa za kumtoa kizani na kumuingiza kwenye nuru ziende kwa kina mama wa kiislaam, kwa kukaangiza tu, Ma shaa Allah.
Hapa Kipele kimepata mkunaji..😅
 
Acha mawazo ya kichawi kubadili dini ni Jambo la kibinafsi usikubali kuwa mtumwa
Ndio ukweli huo huko kwa wazee wakobazi majini na mapepo ni kitu kimoja mim binafsi siwezi kushangaa kwa mtu anae taka mafanikio ya mikato kupitia njia hiyo
FqH2it2WwAAyfgA.jpeg
 
Back
Top Bottom