Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Hapana hapo unasikia beat, Akisha weka Yako ndio anaweza play ukasikia ulicho imbaUnasikia unachoimba?
Nauliza,kwasababu ulisema wewe ni unashida ya usikivu,,inakuwaje wakikuwekea bit ambalo si nzuri!?Hapana hapo unasikia beat, Akisha weka Yako ndio anaweza play ukasikia ulicho imba
Usijali mkuu kuwa na subra chakula kiive🤣🤣Tupia kionjo kidogo tupate intro kidogo
Yeah na shida ya kusikia, ila nasikia kiasi sikio Moja miyeyusho ila Moja liko active, beat kuisikia ni simple mana sauti inakua juu pia karibu sana na sikio tofauti ikiwa mbali ndio changamoto huanzia hapoNauliza,kwasababu ulisema wewe ni unashida ya usiku,,inakuwaje wakikuwekea bit ambalo si nzuri!?
Unapenda Sana usiku mkuu. Au wewe boda unakesha sanaNauliza,kwasababu ulisema wewe ni unashida ya usiku,,inakuwaje wakikuwekea bit ambalo si nzuri!?
Oooh,hapo sawa.Yeah na shida ya kusikia, ila nasikia kiasi sikio Moja miyeyusho ila Moja liko active, beat kuisikia ni simple mana sauti inakua juu pia karibu sana na sikio tofauti ikiwa mbali ndio changamoto huanzia hapo
Jaribu kupunguza:Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
Toa wimbo Kwa ajili ya Oktober 29 mkuu
Si nilikuambia naendaga kula miguu ya kuku usiku Kwa mnyamani.Unapenda Sana usiku mkuu. Au wewe boda unakesha sana
Basi tangia uyajue majina ya uswahilini kwenye video unatamba Sana hapaSi nilikuambia naendaga kula miguu ya kuku usiku Kwa mnyamani.
Summary mkuu, hii si hotubaJaribu kupunguza:
mhemko
hali ya kupandwa na hasira au hamu kubwa
Hii hupelekea kuwa na:
papara
bila ya makini; kwa harakaharaka
Daah,njoo vingunguti machinjioni ujionee.Basi tangia uyajue majina ya uswahilini kwenye video unatamba Sana hapa
Tupia kionjo mkuu tafadhali. Meneja unae?Usijali mkuu kuwa na subra chakula kiive🤣🤣
Kuwa serious mkuu, mbona Kila mMoja anani panga kua meneja mwisho anaingia mitiniTupia kionjo mkuu tafadhali. Meneja unae?
lete kionjo nione kama unafaa nikusajiliKuwa serious mkuu, mbona Kila mMoja anani panga kua meneja mwisho anaingia mitini