Suala Bandari tunataka uzalendo wa kitaifa siyo Uislamu na Ukristo

Kwanini wakristo mnapinga mkataba mzuri kama huu? Hamtaki Tanganyika kuwa kama Dubai?
 
Mleta mada ubarikiwe. Wanaojificha kwenye udini juu ya jambo hili hawana akili kabisa au ni walemavu wa akili.
 
Mbona kampaini za kupinga mkataba wa bandari zina ongozwa na viogozi wa kanisa katoliki kama kadinari Mpengo. Kampaini ziko wazi wazi ndani ya kanisa katoliki kwa nini?

Kanisa nitaasisi inayojitegemea na kujisimamia,achana na zile zingine ambazo ni rubber stamp za serikali ya kifisadi,
 
Zanzibar Hoyeeeeeeeeeeee......eeeeeeeee........eeeeee


Tanganyika Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......iiiiiii


Haya tuendelee na kazi
 
Hapana, siyo upotoshaji. Huo ndiyo ukweli.

Mbona huo uzalendo hatukuuona alipokuwepo TICTS?
 
Uzalendo tunaoutaka sasa ni misamaha yote ya kodi ya taasisi za kidini na wabunge ifutwe:

Mbona hilo mpo kimya?

 
Mbona kampaini za kupinga mkataba wa bandari zina ongozwa na viogozi wa kanisa katoliki kama kadinari Mpengo. Kampaini ziko wazi wazi ndani ya kanisa katoliki kwa nini?
Sasa ukiwa mkataba mbovu unataka akae kimya au shida yako ni askofu. Miafrica ni bongolala aisee. Mi nikafikir ungempongeza kwa kuvunja miiko kusaidia taifa kuingia hasara kumbe kwako ni tatizo. Ndio kawaida ya watu dhaifu lakin. Mnamjadili mtu badala ya hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…