Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnafki huwa haonyeshi upande anaosimama nao.Ukimya wa viongozi wa kiislamu ni kukosa uzalendo, walipaswa wakemee waziwazi mkataba wa kijuha kama huu
Kwani bakwata wamezuiwa na nani kupiga kampeni za kutetea bandari zetu.Swali zuri Sana hili...
Mbona kampaini za kupinga mkataba wa bandari zina ongozwa na viogozi wa kanisa katoliki kama kadinari Mpengo. Kampaini ziko wazi wazi ndani ya kanisa katoliki kwa nini?
MamayakoMamayo
Hajielewi yule katangulizwa tu mbele kama mwanasesere!Raia mzalendo namba moja ameshasema bandari zipo salama, hakuna mjadala tena 🐒
Hapana, siyo upotoshaji. Huo ndiyo ukweli.Kuna watu wanataka kugeuza issue ya Bandari zetu kuwa ya dini... Kusema kwamba watu hawataki DP world kisa ni waislamu ni upotoshaji mchana kweupe..and cheap politics ujinga na kukosa hoja.
Sisi hatutaki mwekezaji tumkabidhi rasilimali zenu Kwa upendeleo wowote ule. Eti kisa Raisi ni muislamu wawekezaji waislamu wafanye wanavyotaka Big NO NO... Nchi Hii ni ya wantazania walio na wasio na dini
The Same applies to Christians huwezi kugeuza Tanzania kuwa Vatican. Hoja ya msingi hapa ni ulinzi wa Rasilimali zetu Over. Mwekezaji unamkabidhi bandari zenú zooote milele Kwa mashariti maandazi whaaat .
Msitupotezee lengo letu Sisi Huo mkataba wa kindwanzi hatuutaki. Kama ni u dini Mbona Araabs contractors walipewa Tenda ujenzi bwawa la Nyerere hatukulalamika kikubwa ni uwazi kwenye mikataba
Tatizo Hapa mkataba ni Mbovu uliosainiwa kihuni, unakiuka katiba ya jamhuri ya muungano. Mtanzania yeyote ana wajibu wa kulikemea hili swala waziwazi bila kujificha ndo maana na viongozi wa dini nao wametoa Neno....
DP World afanye KAZI alizokuwa anafanya TICS Kwa mkataba wenye maslshi kwa Taifa, Hakuna anayekataa wawekezaji.
Uislamu na ukristo hatuutaki Kwenye issue ya Banari tunataka Utaifa.
Sasa ukiwa mkataba mbovu unataka akae kimya au shida yako ni askofu. Miafrica ni bongolala aisee. Mi nikafikir ungempongeza kwa kuvunja miiko kusaidia taifa kuingia hasara kumbe kwako ni tatizo. Ndio kawaida ya watu dhaifu lakin. Mnamjadili mtu badala ya hoja.Mbona kampaini za kupinga mkataba wa bandari zina ongozwa na viogozi wa kanisa katoliki kama kadinari Mpengo. Kampaini ziko wazi wazi ndani ya kanisa katoliki kwa nini?