Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

Tatizo mtoto hayupo shule.
UNALIPA ADA YA NINI?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Lakini kwanini usimuulize mkuu wa shule? Kwani ulilazimishwa kumpeleka hiyo shule?
 

Acha utoto we dogo, kama mwanafunzi hajaenda shule kwakuwa ni mgonjwa hiyo ndio haijalishi, lakini sio mwanafunzi hajafundishwa kwa mujibu wa makubaliano, kisha alipie muda ambao hayuko shule. Huo mfano wako wa simu kuwa mbovu ni irrelevant, maana sio mwanafunzi mgonjwa, bali shule zimefungwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao. Mzazi analipa ada kutokana na huduma atakayopata mtoto wake, sasa mzazi kulipa bila huduma kupatikana ni wendawazimu.
 
Una kataa kulipa ada hao waalimu wana familia pia, wazazi, watoto nk wale nini? Tufikirie mara mbili juu kwenye kila jambo
Hao wazazi wanatoa wp hela kipindi hiki kigumu!!!??
unapojua hesabu za kujumlisha usisahau kuna hesabu za kutoa pia....
 
Shida sio level ya shule watoto wako nyumbani why ulipe full amount ya hela zote it's not about level ya shule unaona sawa tu kwa Jambo hili lilivokuja ghafla hafu kwa mazingira yetu ya kitanzania yalivo hata ukisema online vyuo vikubwa vyenyewe havifanyi hivo. Hyo IST inachukua wanafunzi hawafiki 200 nchi nzima hapa tunaongelea majority ya shule za academy za kingereza?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usihangaike na misukule hata hela ya kununulia chunvi makwao haitoi....
Imekomaa tu limphaa ada....
 
Hakuna sehemu wamesema usipolipa Basi mwanao atafukuzwa shule, bali failing to pay your child would be excluded from online activities organised by the school as well as promotion to the next level. Maamuzi ni yako

Swali linabaki pale pale kwamba hao wanafunzi usajili wao ni wa kusona online au ni wa kuingia darasani physically!
Kwa hiyo wale watakaoshindwa kusoma online hawataenda darasa linalofuata? Shule zisijitafutie kesi watakazoshindwa kizembe mahakamani. Wasubiri utaratibu na maelekezo ya serikali.
 

Walimu mishahara yao itatoka wapi ? Au sababu ya corona wasilipwe mishahara ? Kodi za TRA ambazo shule inazilipa kila quarter zitatoka wapi? Na je wafanyakazi wengine wa shule na wao wasilipwee kisa wanafunzi hawaendi shuleni ?
 
...... Mzazi analipa ada kutokana na huduma atakayopata mtoto wake, ......
Una uhakika na hiki ulichokiandika? How do you monitor and evaluate kabla ya kulipa ada? Acha utoto wenu wa kupinga pinga kila kitu. Mwanzisha mada alimpeleka shule kwa hiari yake ni lazima alipe ada ya mwaka mzima. Haya mambo ya kusubiri hadi mtoto aende shule ni irrelevant. Kama mtoto yupo darasa la 5 mfano, yeye analipa mpaka kumaliza darasa la tano.
 

Hajakataa kulipa iwapo mtoto wake kapata huduma ya kufundishwa na mwalimu huko shuleni. Sio mtoto yuko nyumbani zaidi ya mwezi sasa, kisha mzazi atakiwe kulipa. Kama kuna mtu atakubali kulipa bila kupata huduma stahiki, huyo ni taahira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…