Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

Hivi Kwanini huwa hushughulishi ubongo wako? Ada ya shule ni mwaka mzima! Ila kwa huruma ya shule inaweza kulipwa kwa awamu. Mtoto akisajiliwa ni jukumu la mzazi kulipa ada. Huduma gani unadai? Anatakiwa kulipa in advance kama ambavyo unaweka kifurushi cha maongezi au data katika simu yako na haijalishi hukukitumia kwa vile simu yako ni mbovu na baada ya mwezi kinakatika huwezi wadai Voda

Acha utoto we dogo, kama mwanafunzi hajaenda shule kwakuwa ni mgonjwa hiyo ndio haijalishi, lakini sio mwanafunzi hajafundishwa kwa mujibu wa makubaliano, kisha alipie muda ambao hayuko shule. Huo mfano wako wa simu kuwa mbovu ni irrelevant, maana sio mwanafunzi mgonjwa, bali shule zimefungwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao. Mzazi analipa ada kutokana na huduma atakayopata mtoto wake, sasa mzazi kulipa bila huduma kupatikana ni wendawazimu.
 
Shida sio level ya shule watoto wako nyumbani why ulipe full amount ya hela zote it's not about level ya shule unaona sawa tu kwa Jambo hili lilivokuja ghafla hafu kwa mazingira yetu ya kitanzania yalivo hata ukisema online vyuo vikubwa vyenyewe havifanyi hivo. Hyo IST inachukua wanafunzi hawafiki 200 nchi nzima hapa tunaongelea majority ya shule za academy za kingereza?
Ukiona hivyo hujue shule level za academic is not for you, maana hata huko IST ada bado zinalipwa na husikii wazazi wakilalamika..

Inategemea shule anayosoma mwanao ni level gani. Kama level za juu lazima ulipe tu. Hutaki muhamishe mwanao maana hawajakulazimisha kumpeleka kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida sio level ya shule watoto wako nyumbani why ulipe full amount ya hela zote it's not about level ya shule unaona sawa tu kwa Jambo hili lilivokuja ghafla hafu kwa mazingira yetu ya kitanzania yalivo hata ukisema online vyuo vikubwa vyenyewe havifanyi hivo. Hyo IST inachukua wanafunzi hawafiki 200 nchi nzima hapa tunaongelea majority ya shule za academy za kingereza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usihangaike na misukule hata hela ya kununulia chunvi makwao haitoi....
Imekomaa tu limphaa ada....
 
Hakuna sehemu wamesema usipolipa Basi mwanao atafukuzwa shule, bali failing to pay your child would be excluded from online activities organised by the school as well as promotion to the next level. Maamuzi ni yako

Swali linabaki pale pale kwamba hao wanafunzi usajili wao ni wa kusona online au ni wa kuingia darasani physically!
Kwa hiyo wale watakaoshindwa kusoma online hawataenda darasa linalofuata? Shule zisijitafutie kesi watakazoshindwa kizembe mahakamani. Wasubiri utaratibu na maelekezo ya serikali.
 
Shida sio level ya shule watoto wako nyumbani why ulipe full amount ya hela zote it's not about level ya shule unaona sawa tu kwa Jambo hili lilivokuja ghafla hafu kwa mazingira yetu ya kitanzania yalivo hata ukisema online vyuo vikubwa vyenyewe havifanyi hivo. Hyo IST inachukua wanafunzi hawafiki 200 nchi nzima hapa tunaongelea majority ya shule za academy za kingereza?

Sent using Jamii Forums mobile app

Walimu mishahara yao itatoka wapi ? Au sababu ya corona wasilipwe mishahara ? Kodi za TRA ambazo shule inazilipa kila quarter zitatoka wapi? Na je wafanyakazi wengine wa shule na wao wasilipwee kisa wanafunzi hawaendi shuleni ?
 
...... Mzazi analipa ada kutokana na huduma atakayopata mtoto wake, ......
Una uhakika na hiki ulichokiandika? How do you monitor and evaluate kabla ya kulipa ada? Acha utoto wenu wa kupinga pinga kila kitu. Mwanzisha mada alimpeleka shule kwa hiari yake ni lazima alipe ada ya mwaka mzima. Haya mambo ya kusubiri hadi mtoto aende shule ni irrelevant. Kama mtoto yupo darasa la 5 mfano, yeye analipa mpaka kumaliza darasa la tano.
 
Hajakataa kulipa iwapo mtoto wake kapata huduma ya kufundishwa na mwalimu huko shuleni. Sio mtoto yuko nyumbani zaidi ya mwezi sasa, kisha mzazi atakiwe kulipa. Kama kuna mtu atakubali kulipa bila kupata huduma stahiki, huyo ni taahira.
 
Back
Top Bottom