Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

Je hiyo 50/50 Hakim naye atapata mgao wa mdada? Au hiyo inakata kwa mume tuu?
 
Hakim hana kitu, huyo dada atoe 50 kwenye mali zake ampe Hakim.
 
Kumbe dada yuko vizuri. Ampe Hakim 50% ya mali zake maana mchizi hana kitu.
 
🀣🀣 mlivyo na roho mbaya sasa. Msikilize muhuni mwenzako hapo. Which gender doesn't contribute to society🀣🀣🀣 but you feel entitled to praises and wealth. Selfish confused gender.
πŸ—‘ πŸ—‘ πŸ—‘ πŸ—‘ πŸ—‘
 
Je akisema pesa yote alikuwa anakulabata pamoja na kuilisha familia.
 
Je huyo dada kakabidhi Mali zake mahakamani ili nazo zipigwe pasu maana nazo ni Mali za wanandoa au ndo ule msemo wa changu chagu chako chetu?
 
Kwa sababu kamzalia inabidi amfikirie mwenzie... na ndoa za kuishi Kwa kuviziana hivi si poa hata kidogo. Tusiingie kwenye ndoa Kwa sababu ya vitu Fulani... hivi tumekosa upendo kiasi hiki?
Absolutely true
 
Je huyo dada kakabidhi Mali zake mahakamani ili nazo zipigwe pasu maana nazo ni Mali za wanandoa au ndo ule msemo wa changu chagu chako chetu?
Hili swali limeanza kuulizwa muda aisee wala halijibiwi wanarukaruka tu lakini sio shida zetu kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake
 
Habari yenyewe Haina ukweli wowote na ni ya kutunga tu.

Hakuna mahakama iliyosema Hakimi hana Mali. Ndio Kwanza kesi imefunguliwa Ijumaa.
 
Je huyo dada kakabidhi Mali zake mahakamani ili nazo zipigwe pasu maana nazo ni Mali za wanandoa au ndo ule msemo wa changu chagu chako chetu?
Kijana anayo haki ya kudai mgawanyo kwenye zilizopatikana kipindi wakiwa pamoja, kama anavyofanya mwenzie tu.

Wewe ni wapili umeniuliza hili. Huyo mwingine yupo hapo juu sijamjibu kwasababu ameuliza kwa namna flani isiyo na mantiki.

Lakini yote kwa yote, sio mimi nilietunga hizo sheria na wala sipo upande wowote kati ya wawili hao. Ila nimekataa kuegemea upande mmoja na kutupa makombola upande mwingine kwasababu kitu pekee tunachojua ni hii bahari ya talaka, undani wa uhusiano wao siujui, sina chakuusemea, siwezimwita huyu tapeli na yule mjanja au huyu aliingia kwa tamaa.
 
Kwani akisema tunatumia mpaka zinaisha kunashida

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
πŸ—‘ πŸ—‘ πŸ—‘ πŸ—‘ πŸ—‘
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ can't give a valid point aren't you! Stop entitlement this gender, you are humans as humans oo! You're birthed, you live then you die, so that's just life. No one is special! Live you're life by T.I featuring Rihanna.
 
Emmanuel mweusi mwezetu walizaa watoto wa tatu, na Wala hakuonewa huruma, kwa hiyo mi naona hakimi kafanya vyema, kubaka au kesi kitu gani ndo uombe talaka, kafata pesa na jina, miaka mitano ujichotee mi Mali, wajina bi Fatima kongole kwake.[emoji2935]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…