Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
2005 JK alishinda kihalaliHakuna uchaguzi ambao CCM umewahi kushinda kihalali tangu kuanza mfumo wa vyama vingi. Na hakuna uchaguzi huru na wa haki ambao umewahi kufanywa. umusuntiwawe
Muwe mnajifunza basi hata kuandika kiswahili akiri ndio kitu gani? by the way hata aje rais gani hawezi toa ajira kwa wahitimu wote kilichopo ni kuwa serikali ya sasa inatengeza mazingira ya raia wake kujiajiri ili kujenga uchumi wa kisasa. Hii miundombinu anayoitengeneza sasa JPM ndiyo itakayokuja kutengeza ajira nyingi sana siku za usoni tuombe uzima.Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa.
Ikumbukwe kwamba anajinasibu na Rais wa wanyonge wakati wanyonge ndio hawa. Vijana wanafurika mtaani hawaijui kesho yao halafu hawa wana wazazi na ndugu wanaowategemea na wameuza mashamba na rasilimali zote ili kuwasomesha. Hata ajira zinatoka sasa hivi ni za kujitolea tu mfano manispaa ya temeke walimu wanajitolea ipmplying kwamba walimu hawatoshi kabisa ila ajira siyo kipaumbele cha bwana mkubwa yeye anatafuta international pride tu.
Hata sector binafsi inapumulia mashine ambapo ndio iliajiri sana pia kipindi cha JK. Mtu alikuwa anakataa ajira ya serikali akijua atapata ajira private sector and it was easy. Vijana mkimpigia Rais Magufuli kura mtakuwa hamna akiri na kwa sababu hiyo sidhani kama Rais Magufuli atapita kihalali labda aibe
Vijana wamechachamaa haswa liwalo na liwe.
we hujui kitu kaa kimya! Mbona jk aliajiri na utawala huu msisitizo ni watu kujiajiri. Hii serikali ina manufaa gani sasa kwa vijana na watu wote kwa ujumla. Pili lina maisha huwa yanasimama ili kupisha miundombinu ijengwe kwanza! We hujitambuiMuwe mnajifunza basi hata kuandika kiswahili akiri ndio kitu gani? by the way hata aje rais gani hawezi toa ajira kwa wahitimu wote kilichopo ni kuwa serikali ya sasa inatengeza mazingira ya raia wake kujiajiri ili kujenga uchumi wa kisasa. Hii miundombinu anayoitengeneza sasa JPM ndiyo itakayokuja kutengeza ajira nyingi sana siku za usoni tuombe uzima.
Zamu yako inakujaUtaondoka wewe umuache Magufuli hapo hapo
Atakufa pale aliyemuweka hapo atakaporidhika ameshatimiza kile alichompangia akifanye kwa watanzania.Mtamuongezea muda wewe na nani? Ili iweje? Vipi ikatokea akafa hata kabla ya hiyo 2025?
Kwa suala la kupiga kura jamaa hawezi toka madarakani cha msingi ni kutumia nguvu
Utasubiri sanaZamu yako inakuja
Tumia nguvu zako huku huku jf usije jaribu kutoa uso wako barabarani utasahaulikaKwa suala la kupiga kura jamaa hawezi toka madara cha msingi ni kutumia nguvu
Una hakika atafika hai 2030?Magufuli akimaliza kuongoza 2030 wananchi tutaangalia kama aendelee ama upumzike.
Potelea mbali walisha sahaulika wengiTumia nguvu zako huku huku jf usije jaribu kutoa uso wako barabarani utasahaulika
Moja ya matatizo makubwa ya siasa za Africa ni kuangalia watu, badala ya kuangalia sera.Mtamuongezea muda wewe na nani? Ili iweje? Vipi ikatokea akafa hata kabla ya hiyo 2025?
Hebu kabla ya kuandika ulicho andika fuatilia takwimu za wahitimuMuwe mnajifunza basi hata kuandika kiswahili akiri ndio kitu gani? by the way hata aje rais gani hawezi toa ajira kwa wahitimu wote kilichopo ni kuwa serikali ya sasa inatengeza mazingira ya raia wake kujiajiri ili kujenga uchumi wa kisasa. Hii miundombinu anayoitengeneza sasa JPM ndiyo itakayokuja kutengeza ajira nyingi sana siku za usoni tuombe uzima.
Vijana hawa hawa ambao wameshajiapia kutokupiga kura.?
Na wengine hata kwenye daftari la wapiga kura hawajajiandikisha.? Labda
Kipengele gani cha katiba au sheria gani inasema Raisi anawajibu wa kukutafutia kazi?Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa.
Ikumbukwe kwamba anajinasibu na Rais wa wanyonge wakati wanyonge ndio hawa. Vijana wanafurika mtaani hawaijui kesho yao halafu hawa wana wazazi na ndugu wanaowategemea na wameuza mashamba na rasilimali zote ili kuwasomesha. Hata ajira zinatoka sasa hivi ni za kujitolea tu mfano manispaa ya temeke walimu wanajitolea ipmplying kwamba walimu hawatoshi kabisa ila ajira siyo kipaumbele cha bwana mkubwa yeye anatafuta international pride tu.
Hata sector binafsi inapumulia mashine ambapo ndio iliajiri sana pia kipindi cha JK. Mtu alikuwa anakataa ajira ya serikali akijua atapata ajira private sector and it was easy. Vijana mkimpigia Rais Magufuli kura mtakuwa hamna akiri na kwa sababu hiyo sidhani kama Rais Magufuli atapita kihalali labda aibe.
Vijana wamechachamaa haswa liwalo na liwe.