Uchaguzi 2020 Suala la ajira ndio litamuondoa Rais Magufuli madarakani hasa vijana ambao ndio wengi

Labda ingekuwa vijana wa US. au hata vijana wa Kenya. Hawa waliolewa moshi wa koroboi wala usiwahesabie. Hawajitambui.
Nchi za mbele ajira ni haki ya vijana but Tanzania mnaambiwa chapeni kazi while kazi zenyewe hatoi
Nakuunga mkuu Uvivu+ ngono vyuoni + kutokujielewa
yaani bado sana,mtu anazeekea kwao ana miaka 30 anatafuta ajira!
Changamoto iliyopo saiv ni umuchknow sana! + ujuaji ndio maana wazee wenye busara zao bado wanazeekea huko makazini ilihali vijana kila kukicha vilio tuu
 
Shida ya vijana tunalalamika mitandaoni wakat hajajiandikisha, tangu vitambulisho ya taifa vitoke cha mpiga kura sijui kilipo.

Unategemea kwa nn asishinde kwa kishindo uchaguzi, ajira atoe kwa wote sio walimu na MD tuu, naaam kila sector kuna graduate wa kutosha
 
Kwa tume hii ya uchaguzi; Magufuli kidedea. Vijana walie tu!
 
Endeleeni kulalamikia ajira, mara 45 yrs hiyoo, huajiliki tena na kadegree kako. there is always a plan B kulalamika juu ya JIWE wakati hata kujiandikisha hamuendi ni upuuzi.
 

Ategemei kura Bali polisi,
Macomunist yote kwao maendeleo ya watu sio vipaumbele vyao,
Wanyonge ni mtaji wa wanasiasa wao ni rahisi kuwapropaganda,pia wanyonge ujisikia raha matajiri wakishughulikiwa kwa Imani unyonge wao umeletwa na matajiri kumbe sababu ya ujinga wao.
Wanyonge ndio wanaisoma haswaa wanapumulia
 
Bodaboda na machinga Hakuna ajira pale wale awazalishi Bali wale ni madalali wa viwanda vya china kusaidia kuinua uchumi wa china na si tz, kupitia wao pesa zetu zinaenda China mamilioni ya madola.
Kama tungeboresha kilimo kingeinua viwanda tukaajiri vijana wote.
Hela tuliyowekeza kwenye mbadala mfano sgr,ndege, bwawa, dodoma zingetosha kumaliza tatizo la ajira nchini na zingesharudi Mara 4 zaidi ya hizo Kama zingewekezwa kwenye kilimo tu.
Kilimo ndio solution la tatizo la ajira nchini na ndio msingi wa maendeleo wa nchi yeyeto.
 
Heading tu nimecheka sana😀😀
Nchi hiihii ya ulimwengu wa tatu??
Yaani huyuhuyuu jiwe au mwingine😀
Kwamba sisi majobless hatutampigia kura ?? Unafikiri ccm wanategemea kura, wezi wale wameshazoea kuiba.
Kozi ya wizi wa kura hata mnangwaga alikuja jifunzia kwetu kabla ya uchaguzi
 
Rubbish takataka,
Mbona wakoloni walilimaliza tatizo la ajira ajira nchini
 
Kilimo ndio key ya uchumi wowote duniani
 
Mambo mengi yanamuondoa madarakani huyo MTU FURANI.

-Swala la Nyongeza ya mishahara ni fimbo tosha tu.
-Kunyima wastaafu mafao kisa vyeti feki nayo ni fimbo
-Mtu wa visasi,kuwanyanya matajiri mf Manji,Lema Northern Eng
-Wizi eg 2.4T , Vivuko vibovu ,Kuminya ukubwa wa barabara na kupiga cha juu
-Yeye ndio Bunge , Yeye ndio CAG , Yeye ndio Mahakama,Yeye ni Mnunuzi wa serikali etc
 
Hivi atatoka kweli?? 😰😰 kijasho kitatutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…