Uchaguzi 2020 Suala la ajira ndio litamuondoa Rais Magufuli madarakani hasa vijana ambao ndio wengi

Hii tume ndo shida Mana huwa inatangaza viceversa. Ila mda mwingine . Ila mda mwingine unaweza chagua mwenyekiti wa tume hafu akatenda haki
 
Labda ingekuwa vijana wa US. au hata vijana wa Kenya. Hawa waliolewa moshi wa koroboi wala usiwahesabie. Hawajitambui.
Nchi za mbele ajira ni haki ya vijana but Tanzania mnaambiwa chapeni kazi while kazi zenyewe hatoi

hakuna nchi duniani hakuna tatizo la ajira, USA na ukubwa wake wa dollar ila serikali imepelekwa mahakamani kisa tatizo la ajira, kama ndo mmepanga kutumia hii kama gia nawapa tu pole maaana magufuli is here to stay
 
we hujui kitu kaa kimya! Mbona jk aliajiri na utawala huu msisitizo ni watu kujiajiri. Hii serikali ina manufaa gani sasa kwa vijana na watu wote kwa ujumla. Pili lina maisha huwa yanasimama ili kupisha miundombinu ijengwe kwanza! We hujitambui

ushafeli maisha mpaka apo, na kama una mtoto usije muambukiza huu upuuzi unaoongea apa wape watu wengine wakusaidie kumlea
 

hawa ndo upinzani wetu bana, kiukweli since hii cdm ya baada ya 2015 wamekua kichefu chefu aisee
 
Kujiajiri nako pia ni ajira sio lazima ile ya serikali tu vijana wengi wamejiajiri na wanaipenda CCM.
 
Kujiajiri nako pia ni ajira sio lazima ile ya serikali tu vijana wengi wamejiajiri na wanaipenda CCM.
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
John Pombe Joseph Magufuli
Atuongoze Tu
 
wachane
 
Five yrs hamna ajira umeshaiona wapi hii!
hakuna nchi duniani hakuna tatizo la ajira, USA na ukubwa wake wa dollar ila serikali imepelekwa mahakamani kisa tatizo la ajira, kama ndo mmepanga kutumia hii kama gia nawapa tu pole maaana magufuli is here to stay
 
Kaleta maendeleo ya madaraja ya photoshoot
 
Yaani nisote chuo mpaka namaliza nategemea kupata ajira ,miaka mitano inapita serikali haijajiri ,inasema imejenga reli ya kisasa, bwawa la umeme na imenunua ndege siwezi kuielewa kabisa.
 
kaka unaongelea vijana hawa hawa
ambao hata wao hawajui kua wao ni vijana?

bora ungeandika thrid ya michezo tujadili
 
Kadiri tatizo la ajiri linavyoendelea na vijana kuendelea kuongezeka litatokea tukio kama la Egypt "Arab uprising",watu wataingia mtaani watafanya wanachoweza na wengi wataona bora wafe kuliko kuteseka ndani ya nchi yao.

Muda si muda ujambazi utaongezeka vijana wa Jkt wengi wako mtaani na na maujaji na utapeli kama Nigeria utafanyika sana plus industry ya Adult movies ipo njiani kuwaka moto kwa kwenda mbele.
Mwisho wa udhalimu ni kifo
 
Tupige tusipige kura anashinda labda aamue mwenyew hataki kuendelea..ccm ni majambazi sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…